Red Stars FC

Red Stars FC Welcome to the official page of Red Stars FC. Currently participating in FKF Division II Northern Zone League.

Champions of Coast Regional League 2024/2025🏆🥇
Based in Rabai, Kilifi County.

admin bado anangoja results eti kumeendaje huko nyumba sita!🫪Kwa kina Wayzata Boys FC
02/09/2026

admin bado anangoja results eti kumeendaje huko nyumba sita!🫪
Kwa kina Wayzata Boys FC

You know what! Bobby was right😅2-0 win by walkover!Tunasemaga tatu bila jasho,Next match on Wed 2nd Sepagainst Wayzata B...
30/08/2026

You know what!
Bobby was right😅
2-0 win by walkover!
Tunasemaga tatu bila jasho,
Next match on Wed 2nd Sep
against Wayzata Boys FC

26/08/2026

FT|
KCN Poly (Msa All Stars) 3:4 The Reds

🔴|WELCOME BACK!Baada ya safari ndefu nje ya uwanja kutokana na jeraha, tunafurahi kukuona tena ukifanya kile unachokipen...
18/08/2026

🔴|WELCOME BACK!
Baada ya safari ndefu nje ya uwanja kutokana na jeraha, tunafurahi kukuona tena ukifanya kile unachokipenda zaidi.
Nguvu, uvumilivu na kujituma kwako vimekuwa vya kutia moyo sana💪
Tunamshukuru Mungu kwa kukufikisha hapa, na k**a club pamoja na mashabiki, tunaendelea kukuombea upone kikamilifu, uwe na afya njema na urejee kwa nguvu zaidi🙏
Watapata taabu sana✨

Wameponea dadeki⏰|FTRed Stars FC 0:0 RWAFA FC
16/08/2026

Wameponea dadeki
⏰|FT
Red Stars FC 0:0 RWAFA FC

tumekaa Sana bila mechi Leo ndo hii hapa form💪🏽Mashabiki wetu tufanye kweli, mengine tuachieni!Entry 🎫 ni 50Mida ⏰ ni Sa...
16/08/2026

tumekaa Sana bila mechi Leo ndo hii hapa form💪🏽
Mashabiki wetu tufanye kweli,
mengine tuachieni!
Entry 🎫 ni 50
Mida ⏰ ni Saa Tisa alasiri
dhidi ya RWAFA FC

GK k**a GK🔥Watapata taabu Sana💪🏽
04/08/2026

GK k**a GK🔥
Watapata taabu Sana💪🏽

Kisumundogo United FC "Seventeen matches unbeaten" was only possible because you hadn't faced the BIG BOYS yet😄We are th...
01/08/2026

Kisumundogo United FC
"Seventeen matches unbeaten" was only possible because you hadn't faced the BIG BOYS yet😄

We are the Reds🔥

🔴🔵|Update ⏰|2nd half is ONKD  0:0 Reds[📸Picha kwa hisani]
01/08/2026

🔴🔵|Update
⏰|2nd half is ON
KD 0:0 Reds

[📸Picha kwa hisani]

Address

Rabai
Kilifi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Red Stars FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category