DIMBA

DIMBA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DIMBA, Coach, BANGLA , MOMBASA, Mombasa.

  psgni timu ilioanzishwa na vijana wadogo.Timu ilioanzishwa kwa minajili ya kushinda vikombe ila hilo isiwe wazo kwa ti...
27/12/2023

psg
ni timu ilioanzishwa na vijana wadogo.
Timu ilioanzishwa kwa minajili ya kushinda vikombe ila hilo isiwe wazo kwa timu yeyote ile, hili ndilo letu lakufunga siku.

27/12/2023

ndo slogan wanayo itumia vijana hawa
Timu ya bangla talent ni timu pekee katika kitongoji cha bangla amboyo ni academy . Inayo shirikisha watoto kutoka umri wa miaka kumi hadi senior..japo ni timu ndogo ila inapata ufadhili kiadogo kutoka katika shirika la vijana . vijana hawa wamejitolea kucheza mpira na ni timu nayo sifika kw nidhmu yahali ya juuna wakaazi wa mtaahiyo

Hii ni timu ya Arena fc, moja wapo ya timu inayo patikana katika kitongoji cha Bangladesh ,ni timu yenye mafanikio sana ...
27/12/2023

Hii ni timu ya Arena fc, moja wapo ya timu inayo patikana katika kitongoji cha Bangladesh ,ni timu yenye mafanikio sana ...kwa kweli kwenye badi super cup 4thedition waliweza kuipuka na kwa namba mbili na kuweza kujiwekiea kitita cha laki moja hamsini
slogan huwa

ina shiriki league ya Mombasa county association

jiunge nani nikiwa nakuletea michuano yote kutoka kitongoji cha bangaldesh mombasa. Pata kujionea vipaji ya vijana kutok...
27/12/2023

jiunge nani nikiwa nakuletea michuano yote kutoka kitongoji cha bangaldesh mombasa. Pata kujionea vipaji ya vijana kutoka humu

Address

BANGLA , MOMBASA
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DIMBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share