Jamvitz

Jamvitz hi

20/02/2022

Mkulima arudisha begi la pesa aliloliokota

Mkulima mmoja nchini Benin, Baraka Amidou (37), amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake, baada ya kukabidhi begi lenye mamilioni ya pesa kwa mmiliki wake, aliloliokota wakati akitokea shamba kuelekea nyumbani.

Amidou amesema kwamba uamuzi huo wa kurejesha fedha hizo, ulichochewa na imani na malezi ya kidini na kusema wala hajutii alichokifanya na begi hilo lilikuwa ni la mfanyabiashara aliyefika katika eneo hilo kununua mazao.

Akizungumza wakati akimkabidhi tuzo na zawadi zake, Gavana wa Borgou Kaskazini mwa Benin Djibril Mama Cissé, alisema, "Siku hizi tunazidi kushuhudia upotevu wa maadili, haijapata kutokea kijana ambaye bado ana kila kitu cha kufanya ili kujijenga akafanya kitendo k**a hicho”.

Address

Pretoria
7686

Telephone

+2771567890

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamvitz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category