Sports STAR TZ

  • Home
  • Sports STAR TZ
Call Directions Website Contact the business

Sports STAR TZ School sports team Pata habari za kimichezo toka kila pembe ya Africa na Ulaya

CHAMPIONSHIP UPDATES FIRST HALF HT: Green Warriors 0-0 Transit Camp    HT: Ihefu Fc 3-1 Gwambina Fc    HT: Africans Spor...
03/10/2021

CHAMPIONSHIP UPDATES FIRST HALF

HT: Green Warriors 0-0 Transit Camp


HT: Ihefu Fc 3-1 Gwambina Fc


HT: Africans Sports Fc 0-0 Fountain Gate Fc


HT: Mashujaa Fc 0-0 Pan Africans


Follow

SIMBA QUEEN'S KUJUA WAPIZANI WAKE KESHONa     Cosmasy William ChogaBaraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CE...
06/07/2021

SIMBA QUEEN'S KUJUA WAPIZANI WAKE KESHO

Na
Cosmasy William Choga

Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) litafanya droo ya kufuzu kwa Zonal CAF Women Champions League mnamo Julai 7.

Auka Gacheo, Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA alithibitisha kuwa droo hiyo itafanywa kupitia zoom Jumatano alasiri. Timu tisa zitashiriki katika kufuzu kabla ya uzinduzi wa Ligi ya Mabingwa ya CAF ya Wanawake itakayofanyika Misri.

Mechi hizo za Kufuzu kwa ukanda zinatarajiwa kufanyika Kenya kati ya Julai 17 hadi Agosti 1.

Simba Queens FC ya Tanzania, Lady Doves FC (Uganda) na Benki ya Biashara ya Ethiopia FC kwenye makaratasi ndizo zinaonekana timu kali zaidi.

Timu nyingine ambazo zitashiriki ni pamoja na; PVP FC (Burundi), FAD Club (Djibouti), Scandinavia WFC (Rwanda), Yei Join Stars (Sudan Kusini) na New Generations FC (Zanzibar).

Timu sita za juu (moja kutoka kila Kanda ya CAF) na mwenyeji wa mashindano (Misri) pamoja na timu moja ya ziada kutoka Kanda iliyoshikilia taji la Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake la zamani (2018) zitafuzu kwenye mashindano ya mwisho.

Follow

  7' Simba Sc 0-0 Yanga Sc🏟Benjamin Mkapa
03/07/2021



7' Simba Sc 0-0 Yanga Sc

🏟Benjamin Mkapa

📝 DEAL DONE:Rafael Benitez ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa miaka mitatu. (Chanzo: Ev...
30/06/2021

📝 DEAL DONE:

Rafael Benitez ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa miaka mitatu. (Chanzo: Everton)

“Katika kuzingatia kuleta umoja ndani ya Klabu Wajumbe watatu waliokuwa wamesimamishwa mwaka jana wamerudishwa kwenye na...
27/06/2021

“Katika kuzingatia kuleta umoja ndani ya Klabu Wajumbe watatu waliokuwa wamesimamishwa mwaka jana wamerudishwa kwenye nafasi zao kuendelea kwenye majukumu yao”.

Mwenyekiti wa Yanga Sc, Dr. Mshindo Msolla

  Half TimeRuvu Shooting 1-0 Polisi Tanzania⚽David Uromi 34'
24/06/2021



Half Time

Ruvu Shooting 1-0 Polisi Tanzania

⚽David Uromi 34'

 yaitembezea kichapo  katika ligi daraja la kwanza kwa wanawake.
22/06/2021

yaitembezea kichapo katika ligi daraja la kwanza kwa wanawake.

Wachezaji wa Al Ahly wameondoka uwanjani kwenye Uwanja wa Rades kwa sababu ya kubanwa na mabomu ya machozi yaliyorushwa ...
19/06/2021

Wachezaji wa Al Ahly wameondoka uwanjani kwenye Uwanja wa Rades kwa sababu ya kubanwa na mabomu ya machozi yaliyorushwa na polisi kwa mashabiki wa esperance

 Full TimeDodoma Jiji Fc 1-0 Kmc FcGoal🕑Dickson AmbundoKmc haijapata ushindi katika mechi tano mfululizo za ligi kuu,Mar...
17/06/2021



Full Time
Dodoma Jiji Fc 1-0 Kmc Fc

Goal
🕑Dickson Ambundo

Kmc haijapata ushindi katika mechi tano mfululizo za ligi kuu,Mara ya mwisho kupata ushindi ilikua ni 16.04.2021 dhidi ya Gwambina ambapo ilishinda tatu bila.

Imeshuka hadi nafasi ya saba ikiwa na alama 41. Nafasi ya sita imeshikiliwa na Namungo Fc ambayo ina alama 42 na tano ni Dodoma Jiji Fc pia ikiwa na alama 42.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports STAR TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports STAR TZ:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed gym/sports facility?

Share