09/11/2026
🇹🇿
Nyota wetu watano wameondoka kwenda kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', inayojiandaa na mechi mbili za kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika mwakani 2027 dhidi ya Nigeria.
Tunawatakia kila la kheri wachezaji wetu kwenye majukumu ya Taifa, AISHI SALUM MANULA Foba Himid Mao IDDY SELEMAN NADO Abdul Sopu.