Sports Arena

Call Directions Contact the business

Sports Arena 🏟️ Official Page of Sports Arena
📍 Dar es Salaam, Tanzania.
⚽ Habari • Matokeo • Usajili • Uchambuzi
(3)

FULL TIME |  Yanga princess 0️⃣-1️⃣ Jkt queens
11/11/2026

FULL TIME |
Yanga princess 0️⃣-1️⃣ Jkt queens

Kiongozi yoyote ambaye ametoka upande wa mwekezaji, hatakiwi kugombea nafasi yoyote ya uongozi pale Simba kwasababu atae...
11/11/2026

Kiongozi yoyote ambaye ametoka upande wa mwekezaji, hatakiwi kugombea nafasi yoyote ya uongozi pale Simba kwasababu ataenda kupambania interest za mwekezaji na sio wanachama

Sema mbolea mlio iweka pale jangwa Simba mlizingua san😂😂😂
11/11/2026

Sema mbolea mlio iweka pale jangwa Simba mlizingua san😂😂😂

Ila Simba wanaushamba 😂😂😂😂😂
11/11/2026

Ila Simba wanaushamba 😂😂😂😂😂

UPDATES: Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Young Africans Pacôme Zouzoua ameondoka nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Ju...
11/11/2026

UPDATES: Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Young Africans Pacôme Zouzoua ameondoka nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Jumatano, Novemba 11, 2026, kuelekea nchini Ufaransa,

Safari hiyo inalenga kuanza hatua ya mwisho ya matibabu na kurejesha utimamu wake wa mwili (rehabilitation) baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na jeraha la mguu wake,

Hii ni awamu ya mwisho ya uangalizi maalumu wa kitabibu na mazoezi ya kuimarisha misuli kabla ya kurejea uwanjani,

Nyota huyo raia wa Ivory Coast alipata jeraha hilo baya la mguu katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita dhidi ya JKT Tanzania hali iliyomlazimu kufanyiwa upasuaji.

Alimkosa akiwa upande wa pili sasa anataka kumurudisha kundini Kiungo ya mpira
11/11/2026

Alimkosa akiwa upande wa pili sasa anataka kumurudisha kundini Kiungo ya mpira

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu Simba SC kutumia Uwanja wa Uhuru katika mechi zake za nyumbani za ...
10/11/2026

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu Simba SC kutumia Uwanja wa Uhuru katika mechi zake za nyumbani za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hatua hiyo imejiri baada ya ukaguzi uliofanywa mara kadhaa na maofisa wa CAF, ambao sasa wamejiridhisha kuwa dimba hilo linakidhi vigezo vya kutumika katika michezo hiyo.

Umeipokeaje Taarifa Hii..!!?

Du! sasa itakuwaje? patachimbika nguo kuchanika🙌🙌😃😃😃
10/11/2026

Du! sasa itakuwaje? patachimbika nguo kuchanika🙌🙌😃😃😃

Simba SC na kocha Fadlu Davidswamewasilisha majibu yao kwa FIFA kuhusu shauri linalowakabili mbele ya Kamati ya Maamuzi ...
10/11/2026

Simba SC na kocha Fadlu Davids

wamewasilisha majibu yao kwa FIFA kuhusu shauri linalowakabili mbele ya Kamati ya Maamuzi ya FIFA (FIFA Football Tribunal), kabla ya muda wa mwisho wa Novemba 4, 2026.

Kwa sasa, suala hili lipo mikononi mwa FIFA na linatarajiwa kujadiliwa Januari 2027, iwapo itahitajika.

Tunasubiri uamuzi wa fifaa tuuh sasa

MANGUNGU: HAKUNA WA KUZUIA MKUTANO MKUU WA SIMBA KUFANYIKA JANUARI 30Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, ...
10/11/2026

MANGUNGU: HAKUNA WA KUZUIA MKUTANO MKUU WA SIMBA KUFANYIKA JANUARI 30

Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, amesisitiza kuwa hakuna kitakachozuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika Januari 30, ambapo miongoni mwa ajenda kuu ni uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu hiyo. Kauli hiyo inakuja wakati ambapo baadhi ya mashabiki na wanachama wa Simba kutoka mikoa mbalimbali wameanza kupinga utaratibu na kuitishwa kwa mkutano huo.

Akizungumza kuhusu msimamo wake, Mangungu ameweka wazi kuwa hatayumbishwa na upinzani unaoendelea kujitokeza, akisisitiza kuwa atasimamia kile anachoamini kwa nafasi yake k**a mwenyekiti wa sasa wa klabu hiyo. Ameonyesha kutokuwa tayari kubadili msimamo wake kutokana na malalamiko yanayotolewa na baadhi ya wanachama.

Mangungu amedai kuwa wanaopinga mkutano huo kufanyika Januari 30 wanaishia kutoa malalamiko na kupinga utaratibu uliowekwa, lakini hilo halitabadilisha msimamo wake. Kwa mujibu wa msimamo wake, hakuna atakayeweza kuzuia mkutano huo kufanyika katika tarehe iliyopangwa.

Kauli hiyo imeendelea kuongeza mjadala ndani ya familia ya Simba, huku macho ya wanachama na mashabiki yakielekezwa Januari 30, siku inayotarajiwa kuwa muhimu katika mustakabali wa uongozi wa klabu hiyo.

Address

Masaki

Telephone

+255622299440

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Arena:

Shortcuts

Share