Shafi Mbao

Directions Website

Shafi Mbao Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shafi Mbao, Sports, .

What a GAME !!!✍️First half psg walianza na shape ya 433 Mbappe neymar na mess mbele pale Kati alicheza paredes na verra...
09/03/2022

What a GAME !!!

✍️First half psg walianza na shape ya 433
Mbappe neymar na mess mbele pale Kati alicheza paredes na verrati lakin pochetino alimpeleka danilo pembenii zaidi ilikusaidiana na hakim kuhakikisha VINI hatembei yes walifanikiwa

✍️ Baadae kipindi chakwanza psg waliswitch kwenda 442 messi alikua anakuja kuchukua mipira kwa kina verrati na kutegea kupiga counter attack yes walifanikiwa kupiga counter attack kadhaa
Nakupelekea kupata goli

✍️ Second half super subs camavinga + rodrygo waliweza kwenda kuutuliza mchezo na kuanza kupress wakati huo viungo wawili wa psg wakikabiliana na watatu wa madrid wakameZwa kasi ya modric,vin ,na super finishing ya benzema ilitosha kwenda kufanya kamback

✍️ Mbappe kafanya kile kilcho mhusu kwa
Ufanisi poor organization Kati yao ili wapa spaces midfielders wa madrid kurun na mipira kuelekea kwenye zone ya psg hali iliopelekea pressure kwa kipa mistake first goal, third goal mistake from marquinhos
✍️Nacho sio flexible kabisa all the time yupo nyuma ndomana alaba alikua anaenda yeye anabaki yes alifanikiwa kulinda kwa ule Upande but attacking haikua nzuri
NOTE
📌Yule mbappe ni hatari sana akiliona lango aliwapatabu sana defenders wa madrid sidhani k**a atabaki msimu huu
,📌 Nuno mendes up and down anafika, ana block , yupo vizuri sana yule defender

📌VINI ,modric yes super hat trick ya KARIMU BENZEMA

📌 Yes madrid huyo robo fainali mbona wanaoumia wapo europa 😂😂
📌DJ walete

Follow MBAO TV
02/03/2022

Follow MBAO TV

Huyu hapa Nyota wa Mchezo katika Mechi 4 zilizopita za Mtoano za Chelsea kwenye UEFA Champions League:⌾ Nusu fainali mec...
23/02/2022

Huyu hapa Nyota wa Mchezo katika Mechi 4 zilizopita za Mtoano za Chelsea kwenye UEFA Champions League:
⌾ Nusu fainali mechi ya kwanza 2021:
👑 MOTM — Kante
⌾ Nusu fainali mechi ya pili 2021:
👑 MOTM — Kante
⌾ Fainali 2021:
👑 MOTM — Kante
⌾ Raundi ya 16 ya mkondo wa kwanza 2022:
👑 MOTM — Kante
Kante for Ballon D'or

Tuchel anaumiza kichwa sana Kuhusu hawa watu timu inashinda lakini kuna pengo kubwa sana kwa hawa jamaaa ✍️Akiwa na 343 ...
23/02/2022

Tuchel anaumiza kichwa sana
Kuhusu hawa watu timu inashinda lakini kuna pengo kubwa sana kwa hawa jamaaa

✍️Akiwa na 343 chellwel na reece james
Walikuaa hatari sana k**a wingback skills, energy ya kupanda nakushuka mwiba sanaaaa

✍️ Chilwell na james walikuaa wanafunga na waasisst magoli mengine now angalia huyo baba mwenye nyumba (azipilicueta)anakaba,anjituma kweli but accuracy Akiwa eneo lakushambulia inakua mdogo sana the way anvyopiga Krosi au pasi cio k**a reece ndomana tuchel alikua anampanga safu ya nyuma kulia

✍️ Alonso timu ikimiiliki mpira afu wanashambulia pia wapinzani hawana wings mwenye kasi utampenda but vise versa yahapo nik**a kisinda vs asukile

✍️ Baada ya kuwa nachangamoto hiyo amekuja nw na 433 ambapo backline inaundwa na azipilicueta rudiger silva sarr
Ambayo imekua na impact chanya liking sio k**a ile walioanza nayo msimu

✍️Zyech,mount, pulisic,harvert,wenner,hodoi hawajamaaa ndo machine za chelsea kwasababu wanampa options nyingi sana Chelsea ndomana wamerudi form kwa asilimia kubwa but chelsea on form niikiwa na hawa jamaaa +reece na bin walikuaa moto sana ndomana nw magoli yamekua machache sana

Note
📌Lile leo atafungwa kwa clean sheet but kwa idadi ndogo sana ya magoli kwasababu ufanisi wakutengeneza nafasi umekua mdogo sana lakini defense yao bado ipo vizuri
📌Lukaku kugusa mara saba mchezo uliopita tuchel amejifunza but ampe nafasi tena leo coz watuk**a hawa wana experience wanaamua matokeo at any time
📌 Darajani chelsea mzishona sana msimu huu leo acheni kabisa hiyo kitu😂😂😂
📌Kumbe baka yupo uropa watu wasiri sanaaa 😂😂

Mwaka 2018 simba walikutana na GENDARMERIE  kwenye kombe la shirikisho Home simba 4 - 0 GENDARMERIEAway GENDARMERIE 0- 1...
23/02/2022

Mwaka 2018 simba walikutana na GENDARMERIE kwenye kombe la shirikisho
Home simba 4 - 0 GENDARMERIE
Away GENDARMERIE 0- 1 simba

Now ni 2022 na simba ya mwaka ule sio hii GEMU itakua nzuri sana

✍️ GENDARMERIE watataka kupata ushindi wa kwanZa nyumbani baada ya mchezo wa kwanZa kupoteza mbele ya barkene ya morocco

✍️ GENDARMERIE watataka kufuta hostoria ya 2018

✍️Simba wanataka kujihakikishia juu ili hata wakienda morocco wakipat point moja iwaweke on gud position
✍️ Tactically simba k**a wataenda kuattack kwa kufanya pressing kulia morison kushoto banda na kumi sakho watawanyima uthubutu gendarmerie kusogea kwenye lango la simba but k**a wataenda kwa mentality ya kupaki basi itakua mgumu sana kupata matokeo

✍️Haina maana unakua na idadi kubwa ya watu wengi kwenye half yako afu bado wapinzani wanaingia kwenye boksi nn maana ya kujilinda sasa refer simba v red arrow away but point is , pressing is solution yakujilinda kwani mtawapa presha wapinzani hali itakayo pelekea ushindi ,pili mtakua safe kwani hawatakuja kushambulia

✍️ Spirit ya simba kwa sasa ,ushindani wa namba , confidence waliyo nayo kwasasa simba anaenda kushindana mchezo wa leo

✍️ Ikumbukwe gendarmerie alitoa sare na al ahly ,sio wabaya sana wapinzani wa simba

✍️4 2 3 1 as usually
Hapo kwenye attacking midfielder hapo morison sakho banda itakua noma sana coz talented, skills, fast runner wana score sina shida na hilo nahilo eneo ndio engine ya simba

NOTE
📌Goli la mapema ni MUHIMU SANA KWA simba pia kutokuruhusu goli la mapema

📌Simba ni darasa kwa vilabu vingine hata hao walio huko manungu😂😂

WHAT A GEMU!!!✍️ First half police tanzania walicheza kwa nidhamu sana wakijaribu kuzuia moloko na faridi wasipige krosi...
23/02/2022

WHAT A GEMU!!!

✍️ First half police tanzania walicheza kwa nidhamu sana wakijaribu kuzuia moloko na faridi wasipige krosi yes walifanikiwa kwa asilimia kubwa

✍️Tariki simba katikati ya dimba alimfanya saido asifanye movement zake for first half nakufanya GEMU kuwa mgumu sana kwani yanga hawakua na nafasi ya kucreate chansi

✍️YANIC BANGALA LITOMBO what a midfield good network connection pomoja na job,mwamnyeto walisolodify kabisa police wasiwe na madhara kwenye part ya pili ya uwanja , police wakijaribu kupiga long balls job na mwamnyeto wana icheza
Na BANGALA LITOMBO aniosha hatari sana

✍️ Dickson ambundo mikimbio sahihi na experience na kasi ya FISTO MAYELE ilitosha kuwaadhibu police

✍️ police baada ya goli walipoteana sana hawakua na options za kufanya ,makapu alijitahidi sana kuzuia sanaa

NOTE
📌FISTO MAYELE what a forward hatari sana flexibility,mobility,target 🔥🔥🔥🔥 funzo kwa timu zenye guard straikaz

📌Ila yule makapu,Tariki simba hatari sana pale police wanaubonda sanaaa

📌Moloko ajitathimin sana kwani fei akirejea rotation inaweza tokea na hali kuwa mgumu

,📌 Leo kunawatu wanaumia wakati sio hata mashabiki wa police,mnaumia haya washusheniiiiii sana yanga juuuu kileleni😂😂😂😂😂😂😂😂😂





IFIKE WAKATI USALIMU AMRI TU✍️Upana wa kikosi cha city ndo unawafanya wawe bora kuliko wengine Wachezaji wao adi asaiv w...
23/02/2022

IFIKE WAKATI USALIMU AMRI TU

✍️Upana wa kikosi cha city ndo unawafanya wawe bora kuliko wengine
Wachezaji wao adi asaiv wanaonekana wana ari power coz kocha wao anarotate players hivyo kufanya wawe na energy kutoboa epl

✍️ December bro timetable ukihandle vizuri unauhakika wa kutwaa ubingwa much energy used kila timu inasaka point kwa nguvu kujiweka sehemu salama , timetable baada ya siku mbili GEMU how can u handle your player na pia update matokeo let assume LIVERPOOL pmzisha slaaa,fabinho,dijk Una mweka nani mwenye ile quality hamna CHELSEA walikuaa wanakujakuja kwenye levels za city lakin injury zimedhihirisha bado wanatakiwa kujitafakari sanaaa rotation from 343 to 433 bado mgumu sana katikati ya msimu tena epl tuchel aiingie sokon mapema atafute beki ya kushoto walau warejee kwenye 343 angalau kubakia top 4

✍️Msimu jana Chelsea na liverpool walipoteana nyakati k**a hizi BUT REMEMBER kwenye mashindano mengine usiwachukulie poa CHELSEA MSIMU JANA UEFA aliwapoteza real na atletico nje ndani wakati huohuo wanapigwa na brighton nyieee ko huku UEFA ,fa, LIVERPOOL na CHELSEA ndo tittle ya england njeeee

✍️ United siwaelewi kabisa wanahiyaji mti upandwe leo matunda leo haiko hivo wampe muda kocha but ikumbukwe wasipo fika top 4 cr7 anasepa kwamujibu wa wakala wake

NOTE
📌 Chelsea na liver waaingie sokoni ili kushindana na city epl la sivyo wataishia kuongoza ligi hadi december then Upara anakuja kiulainii kutwaa ubingwa

📌PEP knock out improve sanaaa

📌 United pambaneni bs hata fa cup tu kaa miaka imeenda gwaya kwapa hanyanyui tu

My opinion top 4
CITY
Liver
Chelsea
Tot

✍️

GEMU MUHIMU SANA KWA CITYCITY waliingia full mziki kutafuta alama tatu ilikujiweka katika nafasi mzuri✍️ First half chel...
23/02/2022

GEMU MUHIMU SANA KWA CITY

CITY waliingia full mziki kutafuta alama tatu ilikujiweka katika nafasi mzuri

✍️ First half chelsea walikuaa nyuma sana
Wakicheza kwakujilinda zyech na pulisic wlikabia zaidi juu katikati nakuwafanya city watumie zaidi pembenii

✍️Chelsea walijitahidi kufanya prompt attacking kupitia long balls but namba yao ilikua mmoja kwa wawili(lukaku vs stone na Laporte)hivyo haikua na impact sanaaa

✍️Upande wakushoto wa Chelsea walikuaa wazito sana alonso na sarr kumdhibit sterling na pia uwezo wa grelish kupress rudiger ulimfanya azipilicueta naye asipande hivyo kufanya chelsea wawe wachache wanapoenda kuattack

✍️ High energy and skills ya rodri na silva iliwafanya kante na kova kuwa na wakati mgumu sana kuwadhiti hiyo ikafanya KDB
Kuwa free na kufanya mikimbio kadhaa ambayo ulimfanya apige mashuti kadhaa ambayo yalipelekea kuzaa goli city

REMEMBER
📌 13 gap nyieee chelsea pambaneni nafasi ya pili tu huo moto so poa

📌 Chelsea wanawamiss sana James na ben chellwel

📌 Mbona kuna watu wamefurahi wakati vita sio yao nyieee kuna watu wanapambana na akina wolves huko chini😂😂😂😂😂😂

📌Upara akisimama pale juu nyieee wengine tafuteni tu FA na NGAO YA JAMII


Kikosi cha wiki
23/02/2022

Kikosi cha wiki

Reposted from    ..MUTSHIMBA MUGALU, HITAJI LA DUNIA YA SASANiliwahi kuhoji kwanini Pep Guardiola alimuhusudu sana Gabri...
28/09/2021

Reposted from ..
MUTSHIMBA MUGALU, HITAJI LA DUNIA YA SASA

Niliwahi kuhoji kwanini Pep Guardiola alimuhusudu sana Gabriel Jesus mbele ya lethal Striker k**a Sergio Kun Aguero! Niliwahi kumshangaa Pep kwanini amkatae Etoo na kumuamini Messi

Nikaja pia kujiuliza kwanini Chris Mugalu anapata sana nafasi ndani ya Simba?? Kwanini anawaweka nje Meddie Kagere na John Bocco? Hili swali liliwahi kunisumbua sana

Awali ya yote nikaja kufanya homework yangu kwanza ya kuugawa uwanja! Kwenye nusu mbili, Nusu ya kwanza ni ZONE A chini ya mstari, huku ni BASIC FOOTBALL, mpira wa maelekezo zaidi na kujilinda

Juu ya mstari ambayo nimeiita ZONE B ni sehemu ya Creativity (Ubunifu) na Tactical Flexibility (Mnyumbuliko wa kimfumo na kimbinu) hii ndio sehemu ambayo unahitaji akili k**a ya Mugalu mtu anaekupa vingi kwa pamoja

Manchester City pale Guardiola alimkataa Aguero kwakuwa licha ya kuwa ni Mfungaji bora ila haipi timu balance, hakabi, hachezeshi na hashuki! Lakini Jesus anakupa vyote na una uhakika yoyote atafunga k**a yeye hatofunga

Ndipo hapo nakuja kumtazama MUGALU na ile concept ya STRIKER VS FORWARD! Dunia ya sasa inahusudu zaidi Forward kuliko Straika! Kwangu Mugalu ni Forward mzuri, Bocco na Kagere ni Masteika wazuri

Mugalu ni mzuri kwenye Link Up plays, kuwachezesha wengine na kuhakikisha nafasi zinapatikana na kubwa zaidi ni uwezo wake wa pressing hivi vinamfanya awe na vitu vya ziada kwa Mwalimu, ukiwa nae una uhakika k**a sio yeye basi yoyote atafunga

Ni kawaida kwasasa kuona Heat Map ya Mugalu ni kubwa kuliko wachezaji wote ndani ya Simba kutokana na kuwa mchezoni muda wote! Na hata suala la kukosa mabao ndicho pia Gabriel Jesus pale City alilaumiwa nacho

Hii inatokana na uwezo wao mkubwa wa kukaa kwenye njia kila wakati na wanaonekana wanakosa zaidi kwakuwa wapo mchezoni muda wote na wanazijua njia muda wote

Mimi namuamini Chris Mugalu, kimfumo anailipa sana timu

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shafi Mbao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed gym/sports facility?

Share