02/19/2023
Kocha mkuuuuu wa Simba sports clubs amesema kwamba mashabiki na viongozi was juu was Timu hiyo kua bado ajapata mda wa kukinoa kikosi hicho hivyo Basi kocha huyu aomba mda baaada ya kupoteza mechi take dhidi ya Raja casblaca Kwa mabao matatu dhid ya sifuri