Foot Swahili

Foot Swahili Foot Swahili ni page inayokuletea habari za soka ulimwenguni bila kubagua ⚽️ 🏀

🚨🆕 Marc Cucurella kuhusu uhamisho wake ulioshindwa kwenda Manchester City mwaka 2022:"Walikuwa na moto, moja ya timu bor...
12/02/2025

🚨🆕 Marc Cucurella kuhusu uhamisho wake ulioshindwa kwenda Manchester City mwaka 2022:

"Walikuwa na moto, moja ya timu bora zaidi duniani. Nilitaka sana kwenda. Wanapokuja wakipiga simu k**a walivyofanya, Guardiola anapokuuliza, ungepiga magoti ikiwa ungelazimika kufanya hivyo.

Lakini vilabu havikuweza kufikia makubaliano. Brighton ilikuwa na madai makubwa, na haikuwezekana."

[kupitia Informe Plus ]

Admin mkuu Benjamin Abisemba

💣| BREAKING NEWS 🗞️ : Zidane ndiye chaguo pekee la Real Madrid ikiwa klabu itapendelea kubadilisha kocha katikati ya msi...
12/02/2025

💣| BREAKING NEWS 🗞️ :

Zidane ndiye chaguo pekee la Real Madrid ikiwa klabu itapendelea kubadilisha kocha katikati ya msimu.

✅🇫🇷

Admin mkuu Benjamin Abisemba

Breaking news 🗞️ 🇪🇨 Arsenal wamefikia makubaliano na Independiente Del Valle (klabu ambayo Hincapié, Caicedo, na Pacho w...
12/02/2025

Breaking news 🗞️

🇪🇨 Arsenal wamefikia makubaliano na Independiente Del Valle (klabu ambayo Hincapié, Caicedo, na Pacho wametokea) kwa ajili ya kusaini mapacha Edwin na Holger Quintero wenye umri wa miaka 16.

Mkataba huo utaanza mwaka 2027, katika siku yao ya kuzaliwa ya 18.

Chanzo :

Admin mkuu Benjamin Abisemba

10/08/2023

Jude Bellingham 💪🏆

07/17/2023

Jumamosi July/22/2023

Match :
FFU vs Ujanja FC

💬 “Nini kinamtokea Mwamnyeto? Sifahamu. Ninachojua anapitia wakati mgumu. Hachezi vizuri. Ana makosa mengi. Ukabaji wake...
09/26/2022

💬 “Nini kinamtokea Mwamnyeto? Sifahamu. Ninachojua anapitia wakati mgumu. Hachezi vizuri. Ana makosa mengi. Ukabaji wake pia ni duni. Haishangazi kuona Kocha Nabi kwa sasa analazimika kumrudisha Bangala kucheza sambamba na Job katika nafasi ya beki ya kati.”

- Edo Kumwembe.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

Kocha Nabi ashtushwa kufungiwa Morrison“Nilipata hizo taarifa zilinikuta nikiwa mezani na familia, ziliniumiza sana, kwa...
09/26/2022

Kocha Nabi ashtushwa kufungiwa Morrison

“Nilipata hizo taarifa zilinikuta nikiwa mezani na familia, ziliniumiza sana, kwa mechi zilizo mbele yetu Kocha yoyote angependa kuwa na wachezaji wake wote. Kuna kitu ambacho huwa Kinanishtua sana naona k**a timu yangu inaandamwa sana”😬

Admin mkuu Benjamin Abisemba

 Uwanja wa klabu ya Atletico umebadilishwa jina lake na kuitwa sasa CIVITAS METROPOLITANO badala ya Wanda Metropolitano....
07/22/2022



Uwanja wa klabu ya Atletico umebadilishwa jina lake na kuitwa sasa CIVITAS METROPOLITANO badala ya Wanda Metropolitano.🇪🇸

Admin mkuu Benjamin Abisemba

"Wakati Nchi yetu inataka kurudisha mchakato wa katiba mpya, nadhani hata pale (TFF) nako tutafute katiba mpya""Mamlaka ...
07/22/2022

"Wakati Nchi yetu inataka kurudisha mchakato wa katiba mpya, nadhani hata pale (TFF) nako tutafute katiba mpya"

"Mamlaka ya (TFF) hayapaswi kuvuka mipaka ya Nchi. Mnamfungia hadi nje ya Nchi kwa sheria ipi ?"

"Mara mama kamteua (Manara) kuwa Mbunge, mara mama kamteua tena kuwa Waziri wa michezo !"

"Kifungo cha miaka miwili na faini ya Tsh 20 Milioni, ni adhabu iliyojaa chuki na kukomoana"

"Kuanzia aliponyimwa tuzo ya mhamasishaji bora, inakupa picha ya moja kwa moja juu ya chuki ya watawala wa mpira wetu dhidi yake"

-Mchambuzi wa soka,Oscar Oscar Jnr

Admin mkuu Benjamin Abisemba

 Kiungo wa klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Pape Ousmane Sakho 🇸🇳 ameshinda tuzo ya goli bora la CAF.Goli hilo alifunga dhidi ya Ase...
07/22/2022



Kiungo wa klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Pape Ousmane Sakho 🇸🇳 ameshinda tuzo ya goli bora la CAF.

Goli hilo alifunga dhidi ya Asec Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

Address

Kansas City, MO
64124

Opening Hours

Monday 6am - 6pm
Tuesday 6am - 6pm
Wednesday 6am - 6pm
Thursday 6am - 6pm
Friday 7am - 5pm
Saturday 7am - 12pm

Telephone

+255768729090

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Foot Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Foot Swahili:

Shortcuts

Share