17/07/2024
๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฅ ๐ค ๐
Kinachosubiriwa sasa ni kumtangaza Awesu Ally Awesu kua mchezaji mpya wa Simba
Anakuja kwenye klabu inayoendana na falsafa ya aina yake ya mpira
Huyu ni moja kati ya wachezaji wa kizawa wenye akili ya mpira na wenye uwezo wa kulisakata kabumbu
Nina Imani pengo la Chama halitaonekana kwa ufundi mwingi alokua nao kijana huyu kwenye miguu yake
Mashabiki wenzangu wa Simba kaeni tayari kwa kumpokea kijana wenu mpya huyo
๐๐ข๐ฆ๐๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ข๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐