Masim fc

Masim fc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masim fc, School Sports Team, Mazizini, Zanzibar.

30/12/2017
Wachezaji wa masimu fc wakiwa kwenye basi wakielekea paje kwaajili ya kupiga/kupasha ili kujiweka vizur katika msimu uja...
28/07/2017

Wachezaji wa masimu fc wakiwa kwenye basi wakielekea paje kwaajili ya kupiga/kupasha ili kujiweka vizur katika msimu ujao...report by el lovely..masimu tv..www.masimufc.com.. # [email protected] #...

28/07/2017

Hatimae uchaguzi mkuu umeisha...MASIMU FC..masimu fc imemteuwa muhammed "njimu" k**a ni rais wa timu hiyo baada ya kuondoka madarakani abdullah ambaye aliiongoza timu takriban ya miaka 1 ila bila ya mafanikio mazur katika timu hiyo akaamua kujiuzulu rasmin kabisa.....baada ya kuwa na skendo ya kuhujumu timu hiyo. Abdullah alisema "anajiskia aibu sana kwa skendo hiyo ila mazali imesha tokea inambidi tu kuskiliza hukmu ya kesi hiyo"...By mustafa report.....masimu tv..www.masimufc.com. # #2017..masimufcofficial.com

nddn
15/08/2016

nddn

masim fc imemnasa kiungo wa nyaru kids mohd wakili bobe kwa kitita cha milioni 13.bobe amesema "anafuraha sana kutua kat...
10/08/2016

masim fc imemnasa kiungo wa nyaru kids mohd wakili bobe kwa kitita cha milioni 13.bobe amesema "anafuraha sana kutua katika tim hii ya masimu fc kwakua siamin kucheza tim kubwa k**a hii"

MASIM FC VS KIVUBO FCsiku ya jumamosi asubuhi katika viwanja vya magirisi 8:15. # # # # # # .mrlovely.com #  riport and ...
09/08/2016

MASIM FC VS KIVUBO FC
siku ya jumamosi asubuhi katika viwanja vya magirisi 8:15.
# # # # # # .mrlovely.com # riport and ellovely.com # # #//fb.tz mustafa # //// #()₩€XD:-/:-[=-O:-/:-Q # # # # # #

masim fc yamkwaa strikaa machachari kutoka timu ya wapinzan wao tiptop aitwae ISMALY HAJI ambae ni mshirika wa tunzo ya ...
24/07/2016

masim fc yamkwaa strikaa machachari kutoka timu ya wapinzan wao tiptop aitwae ISMALY HAJI ambae ni mshirika wa tunzo ya mchezaji bora chipkiz. SWALI NI JE ATAFANYA MAMBO K**A YA MSIMU ULIOPITA ? # # # # .COM # # FC.COM # #

Timu ya masim fc ikiwa katika mazoezi siku ya jumamosi katika viwanja vya nyarugusu chini ya kocha wao HASSAN GONDA pamo...
24/07/2016

Timu ya masim fc ikiwa katika mazoezi siku ya jumamosi katika viwanja vya nyarugusu chini ya kocha wao HASSAN GONDA pamoja na kocha msaidiz ABDILAH NAFAL. # # .mustafareportar.com shere # # # .com # # # .com # #%%//-% # # #

Masim fc imeanza mazoezi katika jiji la fuoni kwa ajili ya kujieka sawa katika msimu ujao  ingawa haikufanya uzur katika...
07/07/2016

Masim fc imeanza mazoezi katika jiji la fuoni kwa ajili ya kujieka sawa katika msimu ujao ingawa haikufanya uzur katika msimu ulio pita # # # # # .masimTV.com # # # with ellovely.com # # #////+mustafaTV.com # # # # # # # # # # # # # #

Address

Mazizini
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masim fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share