WADFA Magharibi a

WADFA Magharibi a Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A Unguja

Eid Mubarak
29/06/2023

Eid Mubarak

TAARIFA: Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kuteuwa Kamati mbali mbali...
18/05/2023

TAARIFA: Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kuteuwa Kamati mbali mbali ambazo zitashirikiana nazo katika kuendesha Mpira ndani ya Wilaya yetu.
Kamati zenyewe k**a zifuatazo:-
1. Kamati ya Ligi
2. Kamati ya Ufundi
3. Kamati ya soka la Vijana (Central)
4. Kamati ya Rufaa
5. Kamati ya Waamuzi
6. Kamati ya Habari na Masoko

Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kujadili mambo mbali mbali yanayohu...
15/05/2023

Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kujadili mambo mbali mbali yanayohusu maendeleo ya Mpira katika Wilaya yetu.

Address

Chuini
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WADFA Magharibi a posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category