Kilimani City

Kilimani City Kilimani City Football Club is a professional football club resides in Zanzibar in the United Republic of Tanzania.

Very sad inasikitisha sana. Allah awape subira wazazi walezi walimu wapenzi wa mtoto huyu asie na hatia kapewa adhabu ka...
19/06/2024

Very sad inasikitisha sana. Allah awape subira wazazi walezi walimu wapenzi wa mtoto huyu asie na hatia kapewa adhabu kali sana bila ya hatia.

16/06/2024

God bless African Child

16/06/2024

Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika, mtoto alindwe, mtoto apendwe, mtoto afunzwe, na sio kuonyesheana vidole ila alindwe dhidi ya maendeleo ya teknolojia na utandawazi. Mola mlinde Mola muongoze mtoto wetu.

Bush anatutangazia hapo Kilimani City FC mechi nyengine ni Jumaatatu Novemba 13, karibuni wote.
09/11/2023

Bush anatutangazia hapo Kilimani City FC mechi nyengine ni Jumaatatu Novemba 13, karibuni wote.

Kilimani City FC 0 - 0 Raskazone F. C.
09/11/2023

Kilimani City FC 0 - 0 Raskazone F. C.

Matokeo ya Jumapili Kilimani City 1-3 Umoja FC Kubwa lijalo endelea kutusupport kwa kufuatilia timu yako pendwa hapa vis...
16/10/2023

Matokeo ya Jumapili Kilimani City 1-3 Umoja FC Kubwa lijalo endelea kutusupport kwa kufuatilia timu yako pendwa hapa visiwani Zanzibar.

16/10/2023
Mashindano ya ndondo Kitope chini ya udhamini wa makamo wa pili mstaafu Balozi Seif Ali Iddi tulikuwa ni washiriki wa zu...
09/10/2023

Mashindano ya ndondo Kitope chini ya udhamini wa makamo wa pili mstaafu Balozi Seif Ali Iddi tulikuwa ni washiriki wa zuri wa mashindano haya hii ilikuwa 2012

Kilimani City ya mwanza 2011 hiyo keep it up viongozi wangu tutafika tunapolengo kufika inshaallah.
09/10/2023

Kilimani City ya mwanza 2011 hiyo keep it up viongozi wangu tutafika tunapolengo kufika inshaallah.

Address

Zanzibar City

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255777436977

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimani City posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kilimani City:

Share

Category