Zanzibar Leagues and Football

Zanzibar Leagues and Football Page For Zanzibar Leagues and Football include Players from Zanzibar, Fixtures, Standings, Soccer Events and All Leagues.

18/01/2026

Wonder Goal from Young Talented midfield who play in MKS Stal Felgenhaeur Jasień in a Poland league.

            Beki Kitasa Kutokea Visiwani Zanzibar ABDUL-MALIK ZAKARIA   amejiunga na Timu Ya   Inayoshiriki Ligi kuu Tan...
18/01/2026



Beki Kitasa Kutokea Visiwani Zanzibar ABDUL-MALIK ZAKARIA amejiunga na Timu Ya Inayoshiriki Ligi kuu Tanzania na Kombe La Shirikisho Akitokea Timu ya . Ni mmoja Kati yaMabeki Bora Nchini Akiwa Amepita Katika Vilabu Mbalimbali k**a vile na

   🇹🇿          🇰🇪Kiungo Fundi wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar AWESU ALLY AWESU Amefanikiwa Kusajiliwa na Timu Ya Poli...
14/01/2026

🇹🇿 🇰🇪

Kiungo Fundi wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar AWESU ALLY AWESU Amefanikiwa Kusajiliwa na Timu Ya Police (FC) Inayoshiriki Ligi Kuu Ya Kenya Kwa Mkopo Akitokea Timu ya Simba (SC) Inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara . Aliwahi Kuzitumikia Timu Mbalimbali zikiwemo KAGERA SUGAR, AZAM (FC), KMC (FC) pamoja na SIMBA SPORTS CLUB.

            🇹🇿Striker wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar AIMAR HAFIDH ABUUBAKAR    Ambae Alikuwa Akiitumikia Timu Ya Mla...
13/01/2026

🇹🇿

Striker wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar AIMAR HAFIDH ABUUBAKAR Ambae Alikuwa Akiitumikia Timu Ya Mlandege Inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar Amesajiliwa na Matajiri Wa Chamanzi Timu Ya Azam (FC) Inayoshiriki Ligi Kuu TanzaniaBara na Pia Mashindano Ya Kombe La shirikisho . KILA HATUA DUA STRIKER.

           🇹🇿Kinda Mwenye kipaji kikubwa Katika Kufumania Nyavu STEVEN MBONI KIMBAMBA Amefanikiwa Kusajiliwa na Timu ya ...
13/01/2026

🇹🇿

Kinda Mwenye kipaji kikubwa Katika Kufumania Nyavu STEVEN MBONI KIMBAMBA Amefanikiwa Kusajiliwa na Timu ya Singida Black Stars (FC) Inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara Akitokea Timu Ya Fufuni (FC) Kutokea Visiwani Pemba Ambayo Inashiriki Ligi Kuu Zanzibar . Hadi Anasajiliwa Alikuwa ni Kinara wa Mabao Katika Ligi Kuu Zanzibar Akiweka Nyavuni Magoli 10 na Pasi za Mabao 06 Katika Mechi 15 Pekee. KILA LA KHERI CENTER FORWARD 🫡🫡

            Kiungo wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar ABDUL-SWAMAD KASSIM ALI ambae Kwa Sasa yupo Katika Timu Ya BIGMAN ...
22/11/2025



Kiungo wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar ABDUL-SWAMAD KASSIM ALI ambae Kwa Sasa yupo Katika Timu Ya BIGMAN FC Inayoshiriki Ligi Daraja La Kwanza Tanzania Bara . Ni Mchezaji Mwenye Uzoefu Wa Kutosha Kwani Ameshazitumikia Klabu Mbalimbali Tanzania Ikiwemo SIMBA (SC), RUVU SHOOTING (FC), MALINDI (SC)MLANDEGE (FC), KAGERA SUGAR (SC), COASTAL UNION PAMOJA NA GEITA GOLD.

           Kiungo wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar HASSAN NASSOR MAULID   anachezea timu Ya JKT Inayoshiriki Ligi Kuu ...
20/11/2025



Kiungo wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar HASSAN NASSOR MAULID anachezea timu Ya JKT Inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League. Alishawahi kuzitumikia Timu Mbalimbali Ikiwemo Mbeya City, Dodoma Jiji na Mpira Pesa ya Visiwani Zanzibar Ngazi ya Central.

        ⭐           🇹🇿Vipaji Vya Mpira ABUUBAKAR HUSSEIN ALLY na YUSSUF SULEIMAN JUSSA Wote Kwa Pamoja Wamejiunga na Tim...
07/11/2025

⭐ 🇹🇿

Vipaji Vya Mpira ABUUBAKAR HUSSEIN ALLY na YUSSUF SULEIMAN JUSSA Wote Kwa Pamoja Wamejiunga na Timu ya⭐ MLANDEGE (SC) Inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (PBZPL) ambapo Wamesajiliwa Wakitokea Timu Ya BIGMAN (FC) Inayoshiriki Ligi Daraja La Kwanza Tanzania Bara (NBC Championship)

           Beki wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar Ally Ally " KINIBU" Amejiunga na Timu Ya Geita Gold (FC) Inayoshiriki...
05/11/2025



Beki wa Mpira Kutokea Visiwani Zanzibar Ally Ally " KINIBU" Amejiunga na Timu Ya Geita Gold (FC) Inayoshiriki Ligi Daraja La Kwanza Tanzania Bara ( NBC Championship) Akitokea Timu Ya BIGMAN (FC). Alishawahi Kuvitumikia Vilabu Mbalimbali K**a Vile KVZ ya Zanzibar, Yanga (SC), KMC (FC) na Coastal Union (SC) Ambazo Zote Zinashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League)

          Miongoni Mwa Wachezaji Wanaotuwakilisha Vyema Wazanzibar Katika Timu ya Taifa ya Tanzania Kwa Wachezaji Huku w...
11/08/2025



Miongoni Mwa Wachezaji Wanaotuwakilisha Vyema Wazanzibar Katika Timu ya Taifa ya Tanzania Kwa Wachezaji Huku wakiongozwa na Kocha Hemed Morocco. 2024.

10/08/2025



Beki ya Mpira Kutoka Visiwani Zanzibar "LANSO" Akipumuwa pumzi ya Moto Wakati wa Maandalizi ya Timu yake KMC FC Kabla Ya Msimu Mpya Kuanza. Ambapo Mazoezi Hayo Yanafanyika Katika Viwanja Vya Mao Visiwani Zanzibar.

                Super talent, Masta Mkata Umeme kutoka Visiwani Zanzibar  Abdul-nassir Mohammed   Amefanikiwa kusajiliwa...
24/07/2025



Super talent, Masta Mkata Umeme kutoka Visiwani Zanzibar Abdul-nassir Mohammed Amefanikiwa kusajiliwa na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ((NBCPL)) Akitokea Timu Ya Mlandege Mabingwa wa Ligi Kuu Zanzibar ((PBZPL)). Kila La Kheri Kwako kiungo.

Address

Mlandege
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Leagues and Football posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category