Kundemba football club

Kundemba football club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kundemba football club, Sports Club, Zanzibar City.

⏩ Our next match: fa cup 🆚 mafunzo: Mao Zedong stadium
29/04/2025

⏩ Our next match: fa cup
🆚 mafunzo: Mao Zedong stadium

Are you ready for the new season?
20/09/2024

Are you ready for the new season?

TAARIFA KWA UMMAUONGOZI wa Klabu ya Kundemba FC inasikitishwa na muendelezo  mbaya wa  maamuzi yanayotolewa na baadhi ya...
07/10/2023

TAARIFA KWA UMMA

UONGOZI wa Klabu ya Kundemba FC inasikitishwa na muendelezo mbaya wa maamuzi yanayotolewa na baadhi ya Waamuzi katika michezo mbalimbali wanayocheza katika Ligi kuu Soka Zanzibar ambapo maamuzi yanayotolewa hayatendi haki kwa Kundemba FC.

Maamuzi hayo mabaya ambayo yanaonekana kuwa ni hujma za Makusudi kwa Timu ya Kundemba FC hayakuanza katika Mchezo wa Leo wa Derby dhidi ya Mlandege bali toka Katika Mchezo namba tatu dhidi ya JKU katika Kiwanja cha Mau A Mjini Unguja.

Kufuatia kadhia hiyo ambayo inajirejea mara kwa mara Uongozi wa Klabu ya Kundemba FC inalaani vikali hujma zinazofanywa dhidi yao na kuwaomba Uongozi wa Shirikisho la Soka Zanzibar ZFF kuchunguza hujma hizo na kuchukua hatua stahiki kabla ya maafa kutokea viwanjani.

FULL TIME
07/10/2023

FULL TIME

🚨 MATCHDAY🚨⚽ KUNDEMBA VS MLANDEGE🏆  📆 7.10.2023🏟️ Mau tse tung⏲️ 16:15 hours
07/10/2023

🚨 MATCHDAY🚨

⚽ KUNDEMBA VS MLANDEGE
🏆
📆 7.10.2023
🏟️ Mau tse tung
⏲️ 16:15 hours


JIRANI AMEVAMIA MTUMBWI  WA KIBWENGOAISEE hii si ya kukosa Kabisa Wapenzi wa Soka ndani  na Nje ya Zanzibar  Munakaribis...
04/10/2023

JIRANI AMEVAMIA MTUMBWI WA KIBWENGO

AISEE hii si ya kukosa Kabisa Wapenzi wa Soka ndani na Nje ya Zanzibar Munakaribishwa kuja kushuhudia tunavyompasua Jirani Mlandege Fc Octoba 7 Mau A majira ya Saa Kumi Alasiri.

Hakika Jumamosi hii hatumwi Mtoto Dukani, Sisi Kundemba tunasema tumejipanga tunapiga kwenye Mshono.

Uongozi na Benchi la Ufundi umekamilisha maandalizi yote muhimu kuelekea Mchezo huo kinachosubiriwa ni Kumpasua jirani tuuu.

mao



KESHO TUPO DIMBANI DHIDI YA KVZKESHO Inshalah  tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majira ya Saa Kumi Alasir dhidi ya...
29/09/2023

KESHO TUPO DIMBANI DHIDI YA KVZ

KESHO Inshalah tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majira ya Saa Kumi Alasir dhidi ya KVZ katika Mchezo wa Mzunguko wa Nne PBZ Premier League.

Uongozi na Benchi la Ufundi la Kundemba FC linaomba Mashabiki, Wapenzi na Wanachama kuendelea kuomba Dua kwa Wingi pamoja na kuja Uwanjani kushuhudia Mchezo.

Pia tunaomba Mashirikiano ya hali na Mali kufikia Malengo ya Timu yetu.

Matumaini yetu ni Ushindi na kuibuka na alama 3 muhimu, Mungu ibariki Kundemba FC

KESHO TUPO DIMBANI DHIDI YA JKUKESHO Inshalah  tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majira ya Saa Kumi Alasir dhidi ya...
22/09/2023

KESHO TUPO DIMBANI DHIDI YA JKU

KESHO Inshalah tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majira ya Saa Kumi Alasir dhidi ya Timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar JKU katika Mchezo wa Mzunguko wa Tatu PBZ Premier League.

Uongozi na Benchi la Ufundi la Kundemba FC linaomba Mashabiki, Wapenzi na Wanachama kuendelea kuomba Dua kwa Wingi pamoja na kuja Uwanjani kushuhudia Mchezo.

Matumaini yetu ni Ushindi na kuibuka na alama 3 muhimu, Mungu ibariki Kundemba FC

Alhamdulillah  Point +3 Full Time ⏱ KUNDEMBA  FC 1 - 0 MAFUNZO  Uongozi  wa Klabu  ya Kundemba FC pamoja na   Benchi la ...
19/09/2023

Alhamdulillah Point +3

Full Time ⏱ KUNDEMBA FC 1 - 0 MAFUNZO

Uongozi wa Klabu ya Kundemba FC pamoja na Benchi la Ufundi uneendelea kuwashukuru Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa Timu kwa Umoja na Ushirikiano wenu.

🚨𝙢𝙖𝙩𝙘𝙝𝙙𝙖𝙮🚨⚽ Kundemba vs mafunzo🏆 📆19.9.2023⏲️10:15🏟️mau tse tung (A)
19/09/2023

🚨𝙢𝙖𝙩𝙘𝙝𝙙𝙖𝙮🚨

⚽ Kundemba vs mafunzo
🏆
📆19.9.2023
⏲️10:15
🏟️mau tse tung (A)

KESHO Inshalah  tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majina ya Saa Kumi Alasir dhidi ya Maafande  wa Mafunzo  katika M...
18/09/2023

KESHO Inshalah tunatarajia kushukua Dimbani Mao Tsung majina ya Saa Kumi Alasir dhidi ya Maafande wa Mafunzo katika Mchezo wa Mzunguko wa Pili PBZ Premier League.

Uongozi na Benchi la Ufundi la Kundemba FC linaomba Mashabiki, Wapenzi na Wanachama kuendelea kuwaambia Timu yetu na kuja kwa Wingi uwanjani kushuhudia burudani.

Mungu ibariki Kundemba FC

Kikosi chetu kinacho anza leo kwenye mchezo na jamuhuri
14/09/2023

Kikosi chetu kinacho anza leo kwenye mchezo na jamuhuri

Address

Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kundemba football club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kundemba football club:

Share

Category