Chuoni FC

Chuoni FC Klabu ya Chuoni ilianzishwa mnamo mwaka 1984 ni moja ya Klabu maarufu yenye washabiki Zanzibar

21/08/2023

🔴🔵| TAARIFA.

Tunapenda kuwaarifu Mabadiliko ya Uongozi k**a ifuatavyo.

1.Mohamed Ali Shaibu-Mwenyekiti

2.Shaib Salum Shaib-Makamo Mwenyekiti.

3.Ali Salum Shaib-Katibu

4.Mundhir Yussuf Zubeir-Msaidizi Katubu

🔴🔵| TAARIFA.Tunapenda kuwaarifu kuwa Ndugu Yussuf Juma Haji(Pichani Kulia) atakaimu nafasi ya Katibu wa Klabu kuanzia le...
17/01/2023

🔴🔵| TAARIFA.

Tunapenda kuwaarifu kuwa Ndugu Yussuf Juma Haji(Pichani Kulia) atakaimu nafasi ya Katibu wa Klabu kuanzia leo hadi hapo itapotoka taarifa nyengine.

🔴🔵| ObligadoPELE
30/12/2022

🔴🔵| Obligado

PELE

10/12/2022

🔴🔵| ↔

FT: Chuoni FC 1-1 Umoja Mbuzini FC

02/12/2022

🔴🔵| ⬆

FT: Paje Star FC 0-1 Chuoni FC

Keep It Up ...
29/11/2022

Keep It Up ...


Khalid Babib Iddi jana kafunga Goli lake la pili tokea atue KMKM, kiukweli kijana Habib ni miongoni mwa wachezaji wanayoipa msada mkubwa Tim yetu

Allah amzidishie Afya njema.

24/11/2022

🔴🔵| ⬆

FT: Chuoni FC 2-1 Mundu SC

29/10/2022

🔴🔵| ⬆

FT: Guliono FC 0-2 Chuoni FC

22/10/2022

🔴🔵| ↔

FT: RaskazoneFC 3-3 Chuoni FC

14/10/2022

🔴🔵| ⬇



FT: New King FC 3-0 Chuoni FC

05/10/2022

🔴🔵| ⬇

FT: Black Mamba FC 4-1 Chuoni FC

28/09/2022

🔴🔵| ⬇

FT: New City FC 4-0 Chuoni FC

Address

P. O. Box 1396-Nyerere Zanzibar
Zanzibar City

Telephone

+255777461380

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuoni FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category