Jamali Juma

Jamali Juma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jamali Juma, Professional Sports Team, Usangi.

TANGAZO LA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2025/2026Mtendaji Mkuu - ADEM anawatangazia walimu wote wanaopenda kujiendeleza katik...
14/06/2025

TANGAZO LA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2025/2026

Mtendaji Mkuu - ADEM anawatangazia walimu wote wanaopenda kujiendeleza katika Kozi zinazotolewa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM kwa mafunzo ya muda mrefu ya Stashahada (DIPLOMA) mwaka wa masomo 2025/2026 katika Kampasi za Bagamoyo, Mbeya na Mwanza kuwa maombi yameanza kupokelewa kwa Kozi zifuatazo:

🛑Stashahada ya Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (Diploma in Education Leadership, Management and Administration-DELMA); na

🛑Stashahada ya Uthibiti Ubora wa Shule (Diploma in School Quality Assurance-DSQA)

SIFA ZA KUJIUNGA

⏩️Mwombaji awe ni Mwalimu ambaye amehitimu mafunzo ya Ualimu ngazi ya Daraja la III A; AU Stashahada ya Ualimu inayotambulika na Serikali; AU Shahada ya Ualim; AU Shahada ya Uzamili ya Ualimu;

⏩️Mwombaji awe na ufaulu angalau D 4 katika cheti chake cha kidato cha NNE
Maombi yatumwe kwenye anuani ya Barua Pepe iliyopo katika Fomu ya kujiunga
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa simu:

Bagamoyo: 0752 839 400, 0786 848 497
Mwanza: 0713 714 616
Mbeya: 0765 518 584



Eid Mubarak
30/03/2025

Eid Mubarak

ADEM ELIMU MARATHON.Hizi ni mbio zitakazowakutanisha Alumni na familia yote ya ADEM. hii ni nzuri kwetu kukutana na vion...
24/02/2025

ADEM ELIMU MARATHON.
Hizi ni mbio zitakazowakutanisha Alumni na familia yote ya ADEM. hii ni nzuri kwetu kukutana na viongozi na watu ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza kutusaidia kupata nafasi.

Uzuri ni kuwa mbio hizi zitafanyika wakati tupo likizo za kazi hivyo ni vyema tukashiriki kwa wingi zaidi.

ADEM inaangalia namna ya kuwapa accomodation Alumni wote watakaojiandikisha kushiriki.

Tuwe karibu na pages na social media platform za ADEM ili kujua namna ya kushiriki mbio hizi.

ADEM ELIMU MARATHON💥💥💥

May godbless me, I need to celebrate with my friends on 6th December
19/11/2024

May godbless me, I need to celebrate with my friends on 6th December

12/10/2024
10/10/2024
Karibuni ADEM
23/08/2024

Karibuni ADEM

Karibu Chamwino makamu wa Rais
18/08/2024

Karibu Chamwino makamu wa Rais

Karibuni   kwa elimu iliyo bora
14/08/2024

Karibuni kwa elimu iliyo bora

Karibuni  kwa elimu bora ya uongozi wa elimu na uthibiti ubora wa shule
13/08/2024

Karibuni kwa elimu bora ya uongozi wa elimu na uthibiti ubora wa shule

Address

Usangi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamali Juma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share