25/07/2024
Basi bwana Clotous Chama akajiunga na Yanga kinachofuata ni historia...
Utamaduni wa soka ni hela burudani na stori k**a za wakina Magoma...
Si mmeona ghafla na Manara karudi ulingoni... Mara duuh Simba wametoa jezi za Sanda...
Wewe subiri usikie kinachofuata baada ya Kibu na stori yake...
Hatuishiwi na mambo ndio soka letu unashiba kabla ya kula.