06/05/2026
Matukio ya picha kwenye mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi msimu wa 2025/2026.
Tunashkuru Mungu msimu umetamatika na kufanikiwa kupata timu mbili ambazo zitashiriki Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja msimu wa 2026/2027.
Tunavishkuru vilabu kwa Ushirikiano wenu mlioutoa kuanzia mwanzo Hadi mwisho wa msimu.