Tanzania Yetu

Tanzania Yetu Kwa pamoja tuijenge nchi
UMOJA WETU IWE CHACHU YA MAENDELEO

Tunapitia mengi magumu ili kuwapa furaha wasiopenda tufanikiwe wakijua hatujui                                          ...
05/09/2024

Tunapitia mengi magumu ili kuwapa furaha wasiopenda tufanikiwe wakijua hatujui

🫀🧠👁️☠️🎯💊💉

Nipo kimya kwasababu muda bado haujafika.
18/08/2024

Nipo kimya kwasababu muda bado haujafika.

09/09/2022
Iwe somo kwa wabunge wote
11/06/2021

Iwe somo kwa wabunge wote

21/01/2019

Kati ya kazi na pesa kipi kitamu??
Nataka majibu ya kitanzania

Kuna swali.gumu kulitatua ila ngumu zaidi ni kuzitambua   zinalenga nini 1:maendeleo2:sifa za vyama3:udanganyifu kwa wat...
04/12/2017

Kuna swali.gumu kulitatua ila ngumu zaidi ni kuzitambua zinalenga nini
1:maendeleo
2:sifa za vyama
3:udanganyifu kwa watanzania
4:kujiburudisha
Nini maoni yako wewe k**a mhanga wa siasa zetu

Unaionaje hii kauli ya mo
21/05/2017

Unaionaje hii kauli ya mo

Mpanda ovyo, hula ovyo. // As you sow, so you shall reap. 🙏🏼❤️

21/05/2017

Promotion kabambe ya simu za StarTimes bado inaendelea tembelea Duka la vodacom kariakoo lililopo China Mobile Plaza .
Like na Share ujumbe huu. Zawadi ya simu, power bank, T-shirt na selfie stick kutolewa kwa Washindi wa kwanza watakao share na kupata likes nyingi.

Muda ni wako sasa.

Hili onesho kila mwaka tumelichokaHivi hakunaga vita ya kirafiki waombe mechi nje ya nchi
27/04/2017

Hili onesho kila mwaka tumelichoka
Hivi hakunaga vita ya kirafiki waombe mechi nje ya nchi

Easter iwe cku.ya kugeuza mioyo yenu kutoka ktk matendo maovu mukiyaungama madhambi yenu
14/04/2017

Easter iwe cku.ya kugeuza mioyo yenu kutoka ktk matendo maovu mukiyaungama madhambi yenu

Address

Ukonga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category