Sunuka TV

Call Directions Website Contact the business

Sunuka TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sunuka TV, Sports, KINGAZI B, KWEMBE, Kigoma.

Football updates| Transfer News|Match highlights| Player updates & Stories| Entertainment| Tanzania & International
WhatsApp Chaneli JIUNGE๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VbD4IozLNSa0syNGOd3d

๐Ÿ—ฃ๏ธ Nani anastahili kuwa MVP wa msimu uliopita?
12/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ Nani anastahili kuwa MVP wa msimu uliopita?

Hatimaye, TFF wametangaza tarehe ya kutoa tuzo za msimu uliopita๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
11/11/2026

Hatimaye, TFF wametangaza tarehe ya kutoa tuzo za msimu uliopita๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ—ฃ๏ธ Mchezo wa kirafiki kati ya Gor Mahia na Simba SC, uliopangwa kufanyika Novemba 15 kwa ajili ya Kombe la Raila Odinga,...
11/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ Mchezo wa kirafiki kati ya Gor Mahia na Simba SC, uliopangwa kufanyika Novemba 15 kwa ajili ya Kombe la Raila Odinga, unatarajiwa kufutwa kutokana na wasiwasi kuhusu visa vya Ebola nchini Kenya.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Simba pia ina wasiwasi kuhusu athari zinazoweza kujitokeza kwenye kampeni yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Iwapo Simba watasafiri kwenda Kenya kwa ajili ya mchezo huo, safari yao inayofuata kwenda Morocco kucheza dhidi ya RS Berkane inaweza kuathirika, kwani huenda wakalazimika kukaa karantini kwa wiki mbili watakapowasili.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Hali hii inaweza kuvuruga maandalizi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

11/11/2026

Simba yathibitisha kumdai Fadlu|

๐Ÿ—ฃ๏ธ  Maahier Davids anajiunga na kaka yake Fadlu Davids katika klabu ya Young Africans SC na kuwa sehemu ya benchi la Yan...
10/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ Maahier Davids anajiunga na kaka yake Fadlu Davids katika klabu ya Young Africans SC na kuwa sehemu ya benchi la Yanga sc

๐Ÿ—ฃ๏ธ Fadlu na nduguye sasa watafanya kazi pamoja nchini Tanzania wakati Yanga wakijiandaa kwa changamoto zao zijazo.

NB: Mungu ampe Fadlu mwisho mwema tu pale Yanga, akizingua......๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†!

๐Ÿ—ฃ๏ธ Kuna uwezekano mkubwa wa Allan Okello๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ kurudi Yanga kwa mkopo kwenye dirisha dogo mwezi Januari.๐Ÿ—ฃ๏ธ Allan Okello, ali...
10/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ Kuna uwezekano mkubwa wa Allan Okello๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ kurudi Yanga kwa mkopo kwenye dirisha dogo mwezi Januari.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Allan Okello, alikuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwa Yanga msimu uliopita ambapo licha ya kusajiliwa dirisha dogo alifanikiwa kupachika magoli 14 na pasi za magoli8

NB: Je, ungependa kumuona Starboy Jangwani tena..........? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

๐Ÿ—ฃ๏ธ "Simba hawatoshinda kwenye hii kesi dhidi ya Fadlu Davids kwasababu kwa ninavyojua Fadlu wakati anaondoka Simba alish...
10/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ "Simba hawatoshinda kwenye hii kesi dhidi ya Fadlu Davids kwasababu kwa ninavyojua Fadlu wakati anaondoka Simba alishauriana na wakala waka pamoja na mwanasheria wake.

Hivyo basi, wakati Fadlu anaondoka Simba kwenda Raja Casablanca atakua ameondoka akiwa na nyaraka halali zilizomtambulisha kuwa amemalizana na Simba.

Hata mimi wakati naondoka Gaborone United kwenda Simba niliondoka na nyaraka zilizonitambulisha na Simba waliilipa hiyo timu yangu ya awali kwasababu nilikua na mkataba na Gaborone United naamini hata Raja Casablanca nao walifanya hivyo". Amesema Dimitar Pantev aliyekua meneja wa zamani wa Simba SC.

NB: Wanasimba mpo.....? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

AMESEMA ALIKAMWE๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ—ฃ๏ธ โ€œSisi tulimwambia Fadlu Davids, tulia. Umekuja kwenye timu inayopenda vita kuliko kula, umekuja kwe...
09/11/2026

AMESEMA ALIKAMWE๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿ—ฃ๏ธ โ€œSisi tulimwambia Fadlu Davids, tulia. Umekuja kwenye timu inayopenda vita kuliko kula, umekuja kwenye timu inayopenda vita kuliko pointi tatu.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Wewe tulia, pika wachezaji, andaa mbinu zako. Haya mengine nje ya uwanja tuachie sisi.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Nitumie fursa hii kuwapa onyo kali watu wote wanaomsumbua kocha wetu. Hizo shilingi walizozitaja kwamba wanadai zipo ndani ya uwezo wangu.โ€ Ali Shaaban Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga SC.

NB: Haya wale mnaomdai Fadlu mwende kwa Alikamwe..............๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€!

๐Ÿ—ฃ๏ธ Klabu ya Simba imemsh*taki Fadlu Davids FIFA kwa kile wanachodai kwamba alivunja mkataba kinyume na taratibu.๐Ÿ—ฃ๏ธ Kwa m...
09/11/2026

๐Ÿ—ฃ๏ธ Klabu ya Simba imemsh*taki Fadlu Davids FIFA kwa kile wanachodai kwamba alivunja mkataba kinyume na taratibu.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba shauri hilo limepangwa kusikilizwa januari 2027.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Hapa kuna mambo kadhaa ya kujiuliza;
1. Kwanini wamemsh*taki baada ya kuja Yanga?
2. Je, Simba wanaumia Fadlu kuwa kocha wa Yanga?
3. Je, Simba wanatamani Fadlu arudi Msimbazi ilihali wanasema ni mbovu?

Address

KINGAZI B, KWEMBE
Kigoma
16111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sunuka TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sunuka TV:

Shortcuts

Share

Category