Kojogo_tz

Kojogo_tz KWA HABARI MAKINI ZA SOKA NA MUSIC

Rasmi sasa simba day itakuwa tarehe 7 ya mwezi wa 9 pale pale benjamin mkapa dar es salaam wanasimba kumbuka pia jezi mp...
07/08/2025

Rasmi sasa simba day itakuwa tarehe 7 ya mwezi wa 9 pale pale benjamin mkapa dar es salaam

wanasimba kumbuka pia jezi mpya kuzinduliwa tarehe 25 mwezi wa 8

Simbanguvumoja

Jamani tuweni makin sana πŸ™„πŸ™„
10/03/2025

Jamani tuweni makin sana πŸ™„πŸ™„

10/03/2025

Mnyama simba mawindoni tena kukabiriana na TMA pale kmc complex katika kombe la crdb...

Jitu la mtumba Mwamba hapoi hata kidogo....
23/12/2022

Jitu la mtumba

Mwamba hapoi hata kidogo....

🚨 Cristiano Ronaldo tayari amewasili katika uwanja wa ndege wa Riyadh nchini Saudi Arabia.Yuko tayari kukutana na vionng...
23/12/2022

🚨 Cristiano Ronaldo tayari amewasili katika uwanja wa ndege wa Riyadh nchini Saudi Arabia.

Yuko tayari kukutana na vionngozi wa klabu ya Al-Nassr.

Chanzo; Foot Mercato)

LUIS MIQUISSONE AIKUBALI OFA YA YANGA  Nimearifiwa kwamba Nyota wa zamani wa Simba Luis Miqusson amekubali ofa ambayo am...
23/12/2022

LUIS MIQUISSONE AIKUBALI OFA YA YANGA

Nimearifiwa kwamba Nyota wa zamani wa Simba Luis Miqusson amekubali ofa ambayo amepewa na uongozi wa Yanga na yuko tayari kusaini mkataba wa miaka mitatu na miamba hao wa soka la Tanzania.

Simba walipeleka ofa lakini walikuwa hawataki kulipa fedha zote walikuwa wanataka kulipa kidogo kidogo ila Eng Heris amemwambia yeye atalipa fedha zote ambazo Miqusson anataka

Mpaka sasa wanasubiriwa tu Al ahly wafanye maamuzi ila tayari kila kitu kipo tayari kwa Miqusson kutua Jagwani

π’πˆπŒππ€ π˜π€π‡πˆπ“πˆπŒπˆπ’π‡π€ 𝐏𝐑𝐄-π’π„π€π’πŽπ πŠπˆππ€ππ„ βžͺSimba imehitimisha wiki tatu za maandalizi ya pre-season nchini Misri, kikosi kikiw...
02/08/2022

π’πˆπŒππ€ π˜π€π‡πˆπ“πˆπŒπˆπ’π‡π€ 𝐏𝐑𝐄-π’π„π€π’πŽπ πŠπˆππ€ππ„

βžͺSimba imehitimisha wiki tatu za maandalizi ya pre-season nchini Misri, kikosi kikiwa mbioni kurejea Tanzania

βžͺJana Simba ilicheza mchezo wa mwisho wa kirafiki dhidi ya Al-Kholood na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

βžͺTangu ilipoweka kambi katika mji wa Ismailia, Simba imecheza mechi nne za kirafiki, imeshinda michezo miwili, kupoteza mchezo mmoja na sare mchezo mmoja

βžͺWalilazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji wao Ismailia kabla ya kuibamiza Abuhamad mabao 6-0

βžͺMchezo pekee waliopoteza ni dhidi ya Haras El Hodoud wakifungwa mabao 2-0

βžͺKocha Mkuu wa Simba Zoran Maki alihitaji michezo hiyo ili kuwaangalia wachezaji na kuimarisha maeneo yenye mapungufu

βžͺMaki alipendekeza maboresho akihitaji mshambuliaji na kiungo, Simba itatangaza usajili wa wachezaji wengine wapya wiki hii DIBAH Sports News nathibitisha hili.

βžͺKiungo Nelson Okwa kutoka Rivers United anatajwa kutua Msimbazi pamoja na mshambuliaji Cesor Lobi Manzoki ambaye Simba iko kwenye majadiliano na Vipres Fc ili kukamilisha usajili wake, na k**a mnakumbukumbu nilishathibitisha Usajili wa manzoki na Huenda akatambulisha

βžͺKikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam August 04 kukamilisha maandalizi ya SIMBA DAY.

MWAMBA JEHURI IMEZAMANA NA MPIRA WAKE
20/07/2022

MWAMBA JEHURI IMEZAMANA NA MPIRA WAKE

17/03/2022

Mabingwa watetezi wa kombe la ulaya UEFA CHAPION LEAGUE chelsea the blues usiku wa jana wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwa kuifunga lille kwa mabao 1-2 na kufanya idadi ta magoli ya mechi zote mbili kuwa 1-4

Sikuzote hasie kubali kushindwa si mshindani na k**a umezidiwa kubali kuwa umezidiwa Nilichojifunza ni kwamba kutodharau...
16/05/2021

Sikuzote hasie kubali kushindwa si mshindani na k**a umezidiwa kubali kuwa umezidiwa

Nilichojifunza ni kwamba kutodharau mtu hata akuwa una lingana nae kipato na rangi

Mpira ni mchezo wa ajabu sana tubaki na hiyo kauli k**a kujifariji kwetu wenda mgonjwa anaweza akameza ata vijiko viwili vya uji...

Mungu nbi mwema na mkubwa sana ila mungu wa simba sc ndo mungu wa kaizer chief

Maneno mengi haya chezi mpira show thing at the pitch 😭😭😭

Address

Mbagala
Temeke

Telephone

+255688278547

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kojogo_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kojogo_tz:

Share