20/12/2019
Welcome Paul Godfrey "boxer"
"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima , sasa hivi nipo fit k**a zamani na ikimpendeza mwalimu akanipa nafasi basi wana Yanga wategemee mazuri kutoka kwangu . . michezo ya kirafiki kule Kigoma nimecheza na ninaendelea pia na mazoezi binafsi kiufupi nipo tayari kwa michezo ijayo" Paul Godfrey Boxer.