SIMBA CAF FANS

SIMBA CAF FANS SIMBA NGUVU MOJA πŸ’ͺ🏾
#π”ππ€π˜π€ 𝐔𝐁𝐖𝐄𝐋𝐀πŸ”₯
SIMBA CAF FANS. 🦁
(1)

Kibu Denis ni mchezaji bora kwa sasa Africa nzima. Dili la kutua yanga likitimia basi tutakuwa tumefanya sajili bora san...
17/07/2025

Kibu Denis ni mchezaji bora kwa sasa Africa nzima.
Dili la kutua yanga likitimia basi tutakuwa tumefanya sajili bora sana kuwahi kutokea.

Wanamsimbaziiii β€œNdoto yangu bado ni ile ile ya kuipa Simba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika! Kutoka 2018 hadi leo nim...
15/07/2025

Wanamsimbaziiii
β€œNdoto yangu bado ni ile ile ya kuipa Simba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika! Kutoka 2018 hadi leo nimewekeza Shilingi Bilioni 45 kwa ajili ya Mishahara, Usajili na mahitaji mengine ya uendeshaji. Pia nimechangia Bilioni 20 K**a sehemu ya ununuzi wa hisa 49% ndani ya Simba SC. Mara nyingi nimetoa pesa nyingine za dharula Bilioni 22”

Mo Dewji Tajiri

Kibu Denis ameanza majaribio ya wiki mbili na klabu kubwa ya MLS πŸ‡ΊπŸ‡ΈSimba SC wamemruhusu winga wao kufanyiwa tathmini kab...
09/07/2025

Kibu Denis ameanza majaribio ya wiki mbili na klabu kubwa ya MLS πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Simba SC wamemruhusu winga wao kufanyiwa tathmini kabla ya klabu hiyo kutuma ofa rasmi. Kibu anataka kucheza Marekani kuwa karibu na familia yake. πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Pia ana ofa kutoka RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦, MC Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ na Al Ahli Tripoli πŸ‡±πŸ‡Ύ.

Mkataba wake na Simba umebakisha mwaka mmoja β€” hatopatikana bure. πŸ”΄πŸ¦
Abuy Khan

Takwimu zinaongea πŸ’―
08/07/2025

Takwimu zinaongea πŸ’―

🚨  Klabu ya Simba imeachana rasmi na golikipa wao Hussein Abel mara baada ya msimu kumalizika huku mchezaji huyo akishin...
07/07/2025

🚨 Klabu ya Simba imeachana rasmi na golikipa wao Hussein Abel mara baada ya msimu kumalizika huku mchezaji huyo akishindwa kupata nafasi ya kucheza.

Aish Salim manula atumeshamaliza naye ametimkia Azam

Wanamsimbaziiii Simba Mpya inakuja πŸ’ͺπŸΎπŸ’―

Wanamsimbaziiii JE WANAJUA ;Timu hizi hazitaanzia hatua ya Awali Ligi ya mabingwa Afrika msimu ujaoπŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly.πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelod...
07/07/2025

Wanamsimbaziiii
JE WANAJUA ;Timu hizi hazitaanzia hatua ya Awali Ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao

πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly.
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelod Sundowns.
πŸ‡ΉπŸ‡³ Esperance.
πŸ‡²πŸ‡¦ Rs Barkane.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba Sports Club.

Wataanzia hatua ya kwanzaβœ…

Mwamba Muite Captain NGOMA πŸ’ͺ🏾
07/07/2025

Mwamba Muite Captain NGOMA πŸ’ͺ🏾

Wanamsimbaziiii Tajiri ameamua   Je unakubaliana na maneno ya Tajiri Comment Yes or No  Mimi YesπŸ’―
06/07/2025

Wanamsimbaziiii Tajiri ameamua
Je unakubaliana na maneno ya Tajiri Comment Yes or No
Mimi YesπŸ’―

06/07/2025

Nimeamua kujikita kwenye MZIKI maana hii Simba itanipa kisukari

Return of Simba πŸ’―Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imekutana na Bodi ya Washauri ya kujadili mambo mbalimbali ya klabu ikiwem...
06/07/2025

Return of Simba πŸ’―
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imekutana na Bodi ya Washauri ya kujadili mambo mbalimbali ya klabu ikiwemo tathmini ya msimu uliopita na mipango ya msimu ujao ikiwemo usajili.

Address

Tanga

Telephone

+255783318604

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIMBA CAF FANS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIMBA CAF FANS:

Share