Amazon All Stars FC

Amazon All Stars FC Football Home of Talents.

Baada ya kupata habari kua kivuko cha Pangani kimeharibika, Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa miguu Mkoa kuthibitisha hil...
16/10/2025

Baada ya kupata habari kua kivuko cha Pangani kimeharibika, Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa miguu Mkoa kuthibitisha hili mchezo kati ya BEACH BOYS VS AMAZON umehairishwa mpaka Itakapotolewa taarifa nyingine.
next..
AMAZON v/s MZINGANI
Tarehe : 20/10/2025
Uwanja wa Ibadan Mwakidila.

02/07/2025

Ushindi wa nne mfululizo.

FULL TIME

EAGLE ACADEMY 0 - 1 AMAZON u15

Maana ni bora Zaidi ya Tafsiri!!
02/07/2025

Maana ni bora Zaidi ya Tafsiri!!

Safari za Mbwa nyingi Hazina mualiko!
29/06/2025

Safari za Mbwa nyingi Hazina mualiko!



28/06/2025
Baada ya sisi ni hawa...
14/05/2025

Baada ya sisi ni hawa...


Tulipogundua Uongo ndio nyimbo zao pendwa,Nasisi tukawategea sikio bovu 🦻
15/04/2025

Tulipogundua Uongo ndio nyimbo zao pendwa,
Nasisi tukawategea sikio bovu 🦻

10/04/2025

Vibe la kibingwa..


Haihitajii ruhusa ya mtu, wewe kupambania ndoto zako.
08/04/2025

Haihitajii ruhusa ya mtu, wewe kupambania ndoto zako.

11/02/2025
Amazon Princess vs Natali  fcUwanja : Tff Grounds MyanjaniTarehe : 08/02/25Mda : Saa kumi jioniKila la kheri Amazonas.
07/02/2025

Amazon Princess vs Natali fc
Uwanja : Tff Grounds Myanjani
Tarehe : 08/02/25
Mda : Saa kumi jioni
Kila la kheri Amazonas.

Address

Tanga

Telephone

+255777068760

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amazon All Stars FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amazon All Stars FC:

Share

Category