Masuguru Fc

Masuguru Fc Ukurasa rasmi wa timu ya mpira wa miguu ya MASUGURU..|

Tupo Korogwe, Tanga.

Heri ya siku kuu ya wakulima NaneNane Wana Masuguru Fc ..πŸšœπŸŒΎπŸŒ½πŸ§‘β€πŸŒΎ
08/08/2026

Heri ya siku kuu ya wakulima NaneNane Wana Masuguru Fc ..πŸšœπŸŒΎπŸŒ½πŸ§‘β€πŸŒΎ


  MARMAR CUP, JITENGENI MOMBO.CcMartin Mhina
22/07/2026



MARMAR CUP, JITENGENI MOMBO.

Cc
Martin Mhina

ANAKUPASUA HUKU ANACHEKA (smiling killer)πŸ˜‚πŸ˜‚Muite JUMA MANGA JR. jezi namba 7 mgongoni, huyu ndio Kiboko ya mabeki wavunj...
04/07/2026

ANAKUPASUA HUKU ANACHEKA (smiling killer)πŸ˜‚πŸ˜‚

Muite JUMA MANGA JR. jezi namba 7 mgongoni, huyu ndio Kiboko ya mabeki wavunja kuniπŸ™Œ

Walioshuhudia fainali waliona Moto wa nahodha. TOP SCORER WA MASHINDANOπŸ‘


𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 π˜π€ π–π€π™πˆ π˜π€ π’π‡π”πŠπ‘π€ππˆSisi, Mabingwa wa Mashindano ya Njama Amani na Uzalendo Cup 2026 – Masuguru FC, tunatoa shukran...
02/07/2026

𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 π˜π€ π–π€π™πˆ π˜π€ π’π‡π”πŠπ‘π€ππˆ

Sisi, Mabingwa wa Mashindano ya Njama Amani na Uzalendo Cup 2026 – Masuguru FC, tunatoa shukrani za dhati kwa Mh. CPA Charles Njama, Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, kwa kuanzisha na kufanikisha mashindano haya yaliyowaleta pamoja wananchi, kuibua vipaji vya vijana na kuimarisha amani, umoja na uzalendo katika Korogwe.

Tunampongeza kwa maono yake ya kuendeleza michezo k**a chachu ya maendeleo ya jamii. Aidha, tunatoa shukrani za pekee kwa M***i Aboubakr bin Zuber kwa mchango wake mkubwa katika kufanikisha mashindano haya. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwaongezea afya na hekima.

Pia tunaomba wadau wa michezo waendelee kuiunga mkono sekta hii ili vipaji vya vijana wa Korogwe viendelee kukua na kurejesha heshima ya michezo katika wilaya yetu.

Tunatumaini Njama Amani na Uzalendo Cup itaendelea kuwa mashindano ya kudumu na yenye mafanikio makubwa zaidi kila mwaka.

Imetolewa na:

Mabingwa wa Njama Amani na Uzalendo Cup 2026 – Masuguru Fc

Sio kuwafunga Tu, na Chenga tumewalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muite Magician Benjamin German JaJa ukimuona yeye umeiona burudani ya Mpira.Itone...
30/06/2026

Sio kuwafunga Tu, na Chenga tumewalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muite Magician Benjamin German JaJa ukimuona yeye umeiona burudani ya Mpira.

ItonesheπŸ”₯

Viungo wenu wote ni Bora kabla hawajakutana na hiki Chuma...πŸ™ŒMuite Omary Ngomero Maestro, unavyokuja ndivyo anavyokupoke...
30/06/2026

Viungo wenu wote ni Bora kabla hawajakutana na hiki Chuma...πŸ™Œ

Muite Omary Ngomero Maestro, unavyokuja ndivyo anavyokupokea.

Masuguru inajivunia Sana uwepo wako "THE TANK MAESTRO"


MASHABIKI BORA ZAIDI KOROGWE Asanteni kwa jasho mlilovuja Jana kuhakikisha wachezaji wetu hawajisikii unyonge hata kwa d...
29/06/2026

MASHABIKI BORA ZAIDI KOROGWE

Asanteni kwa jasho mlilovuja Jana kuhakikisha wachezaji wetu hawajisikii unyonge hata kwa dakika moja.

Muite MAN KIPEπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


ᴍᴀʙΙͺΙ΄Ι’α΄‘α΄€ Ι΄α΄Šα΄€α΄α΄€ ᴀᴍᴀɴΙͺ Ι΄α΄€ α΄œα΄’α΄€ΚŸα΄‡Ι΄α΄…α΄ α΄„α΄œα΄˜ 2026Historia imesimikwa,  tangu korogwe iumbwe hakuna Timu imewahi kushinda mashind...
29/06/2026

ᴍᴀʙΙͺΙ΄Ι’α΄‘α΄€ Ι΄α΄Šα΄€α΄α΄€ ᴀᴍᴀɴΙͺ Ι΄α΄€ α΄œα΄’α΄€ΚŸα΄‡Ι΄α΄…α΄ α΄„α΄œα΄˜ 2026

Historia imesimikwa, tangu korogwe iumbwe hakuna Timu imewahi kushinda mashindano yenye thamani kubwa kuzidi sisi✍️

Asante Sana Mbunge wetu Mh. CPA(T) Njama, hakika korogwe imefurahia hii KUBWA KULIKO, Mwakan tena MkuuπŸ™

Sisi ndio Timu pekee inayopokea hesabuπŸ˜‚


SISI NDIO MABINGWA WA HIZI KAZIπŸ’ͺπŸ’ͺTunatafta SHANTA wa chombo yetu mpyaaaπŸ˜‚Asante kwa kila aliyejitoa kuipambania heshima y...
28/06/2026

SISI NDIO MABINGWA WA HIZI KAZIπŸ’ͺπŸ’ͺ

Tunatafta SHANTA wa chombo yetu mpyaaaπŸ˜‚

Asante kwa kila aliyejitoa kuipambania heshima ya mtaa wetuπŸ”₯πŸ”₯



28/06/2026

KILA LA KHERI WANAJESHI WETU πŸ™

Address

Masuguru
Tanga
615

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masuguru Fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category