Soccer Letu

Soccer Letu Mchambuzi wa Soka | Tactical Insights & Real Talk ⚽ | CAF, EPL, Ligi Kuu Updates |

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Malalamiko FC wamekaza mafuvu kuisema simba hawakupata on target hata moja jana, hebu mwanasimba akikwambia muoneshe...
18/05/2025

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Malalamiko FC wamekaza mafuvu kuisema simba hawakupata on target hata moja jana, hebu mwanasimba akikwambia muoneshe picha hii kisha muulize wao walipata ngapi🀣

Waambie waachane na simba, wasubiri show may 25 ndo wataujua ubaya ubwelaπŸ’ͺπŸ’ͺ




FULL TIME:RS Berkane 2️⃣ - 0️⃣ Simba SCCAF Confederation Cup Final – 1st LegStade Municipal de Berkane | 17 May 2025Leo ...
17/05/2025

FULL TIME:
RS Berkane 2️⃣ - 0️⃣ Simba SC
CAF Confederation Cup Final – 1st Leg
Stade Municipal de Berkane | 17 May 2025

Leo haikuwa siku ya Simba SC…
Despite the fighting spirit, wenyeji RS Berkane walitumia vizuri every opportunity na kuchukua faida nyumbani.

Lakini bado... mchezo haujaisha!
🦁 Simba walionesha character, determination na moments of brilliance – lakini sasa ni muda wa kujipanga kwa second leg.

Remember – kwa mpira wa miguu, dakika 90 nyingine zinaweza kubadilisha historia.
Na zitachezwa kwenye ardhi ya nyumbani Dar es Salaam/Zanzibar mbele ya mashabiki wa kweli!
🏟️❀️

Bado tunaamini...
Bado tuna matumaini...
Na bado tuna dakika 90 za kupindua meza!πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

| | | | | |

Kikosi cha mnyama kuelekea mchezo wa mkondo wa kwnza final dhidi ya barkane
17/05/2025

Kikosi cha mnyama kuelekea mchezo wa mkondo wa kwnza final dhidi ya barkane

Siku Kubwa.
17/05/2025

Siku Kubwa.

πŸ”₯ CAF CONFEDERATION CUP FINAL – FIRST LEG πŸ”₯πŸ‡²πŸ‡¦Rs Barkane VS Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ“†17 May 2025⏰22:00 (Tanzania Time)️🏟BarkaneRS Berk...
17/05/2025

πŸ”₯ CAF CONFEDERATION CUP FINAL – FIRST LEG πŸ”₯

πŸ‡²πŸ‡¦Rs Barkane VS Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“†17 May 2025
⏰22:00 (Tanzania Time)
️🏟Barkane

RS Berkane vs Simba SC
Fainali ya CAF Confederation Cup – Mechi ya kwanza, leo!

Simba SC, Giant wa Tanzania, wako kwenye hatua ya kihistoria – fainali ya Afrika dhidi ya RS Berkane huko Morocco.

Ni wakati wa mbinu, nidhamu na moyo wa kupambana.
Can they write a new chapter in African football?
Wakichukua matokeo mazuri ugenini, watakuwa karibu na taji la kwanza la CAF.

K**a Mtanzania, naiombea dua timu yetu ifanye vyema – kwa faida ya soka letu, na taifa kwa ujumla.
Ni muda wa kuonesha hadhi ya vilabu vya Afrika Mashariki kwenye ramani ya bara hili.

πŸ† | ⚽ | 🦁 | πŸ‡ΉπŸ‡Ώ | πŸ”₯

🦁🦁🦁Leo ndo siku yenyewe barkane hawana namna lazima washonwe tu huko huko kwaoUtabiri wanguFULL TIMEBarkane 0-1 Simba Mc...
17/05/2025

🦁🦁🦁
Leo ndo siku yenyewe barkane hawana namna lazima washonwe tu huko huko kwao

Utabiri wangu

FULL TIME
Barkane 0-1 Simba

Mchezo utapigwa majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za Tanzania. Wanasimba na Watanzania wote tuombee simba katika mchezo wa leo wawakilishe taifa letu vizuri. Amen



15/05/2025

Skiliza majibu ya serikali kuhusu uwanja wa Benjamin Mkapa kua tayari kwa ajili ya finali ya pili ya CAFCC kati ya Simba VS Rs Barkane





Breaking News!Kwa taarifa zilizotufikia mezani ni kua mechi ya marudiano final ya shirikisho Afrika kati ya Simba Vs RS ...
15/05/2025

Breaking News!

Kwa taarifa zilizotufikia mezani ni kua mechi ya marudiano final ya shirikisho Afrika kati ya Simba Vs RS Barkane, huenda ikapangwa kufanyika visiwani Zanzibar kwenye uwanja wa New Amani Complex. Taarifa hii imekuja baada ya kuibuka tetesi za kutumwa barua kutoka CAF ikiwataka Simba na TFF kufanya maandalizi ya kupeleka finali hii Visiwani humo.

K**a hili litatokea basi itakua ugumu kwa simba kucheza katika uwanja huo kutokana na kutokua na muendeleezo usio ridhisha wa matokeo wanapokua katika Uwanja wa New Aman Complex.

Lakini kiufupi hizi ni baadhi ya figisu za waarabu kuhakikisha kua simba hapati matokeo katika mchezo wa marudiano. Lakini mimi niwaambie tu RS BARKANE kwa simba hii ya akina MPANZU hawatoki ata iweje kwa uwezo wa Mungu na Kombe lazima libaki Tanzania.






JUST INKikosi cha Wekundu wa msimbazi   tayari kimewasili katika nchi ya Morocco wakiwa na ndege ya Air Tanzania. Ikumbu...
14/05/2025

JUST IN
Kikosi cha Wekundu wa msimbazi tayari kimewasili katika nchi ya Morocco wakiwa na ndege ya Air Tanzania. Ikumbukwe kua Simba SC Tanzania wanatarajia kucheza mchezo wa wa Final ya mkondo wa kwanza shirikisho Africa dhidi ya RS BARKANE unaotarajiwa kupigwa siku ya jumamosi May 17 majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki

Jee mnyama atatoboa??



FULL TIME Young Africans 3-0 Namungo
13/05/2025

FULL TIME


Young Africans 3-0 Namungo

Goooaal Azizi KeyGame on Yanga Africans 1-0 Namungo
13/05/2025

Goooaal Azizi Key
Game on
Yanga Africans 1-0 Namungo

13/05/2025

Game on dk 20
Young Africans 0-0 Namungo

Address

Stone Town

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soccer Letu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category