MN Habari

MN Habari Sport News Namtumbo Fursa

01/03/2025

With Dickson Job – I just got recognised as one of their top fans!

22/08/2024

Kikosi cha AZAM FC 🇹🇿 kimewasili salama nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya APR FC 🇷🇼 utakaochezwa katika uwanja wa Amahoro katika jiji la KIGALI.

Mchezo wa kwanza klabu ya Azam iliondoka na ushindi wa bao 1 kwa 0 lililofungwa kwa Penati na mshambuliaji mpya raia wa Colombia J.Blanco.

Klabu ya APR inamilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Rwanda - RDF (Rwanda Defense Forces).

*Kwa Emoji Moja Hapa Unampa Nani Nafasi Ya Kwenda Hatua Ya Pili Ligi Ya Mabingwa Afrika?*

APR FC 🦁⚽
AZAM FC 🍦⚽

Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba  amekanusha Kauli ya Rais wa Yanga Hersi Said kuwa Kiungo Chama Cloatas alikataa ...
22/08/2024

Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba amekanusha Kauli ya Rais wa Yanga Hersi Said kuwa Kiungo Chama Cloatas alikataa Ofa tatu kubwa za Simba ili kufuata mafanikio Yanga magori amesema “huo ni uwongo wa kiwango cha SGR”

Jiunge na Group la watoaji wa ODS 3 ZA USHIND Whatsapp ODDS unapewa Bure ila baada ya USHINDI utalipia ila kigezo ni kuwa na mtaji yani Stek ya kutosha maana Odds 3 zinahitaji mtaji na zina uhakika wa USHINDI kiwango chetu uwe na stek kuanzia Tsh 15,000 unapewa odds 3 malipo ni baada ya kuwin

Link ya Group Whatsapp 👉 https://chat.whatsapp.com/FYgf6rhh9nqGtuCTbEEiLY


**agicupdates

Ratiba CAF
22/08/2024

Ratiba CAF

22/08/2024

CONFIRMED NEWS !!

Klabu ya kagerasugar Imemtambulisha Tabibu wao Mpya wa timu Mwana Dada Lanina Hasadi,

Kabla ya Kujiunga na Matajiri wa sukari Aliwahi hudumu ndani ya kikosi cha .

Welcome Madame 🏥

22/08/2024

Semaji la Vital'o anasema kwamba timu yao ni bora kuliko Simba ya Tanzania kwa kuitumia Yanga k**a kipimo.

Simba alifungwa 5 na Yanga, wao wakafungwa 4 na wenyewe wapo wanacheza ligi ya mabingwa lakini Simba sc wapo shirikisho, hivyo akahitimisha kuwa Vital ni timu bora kuliko mnyama.

Unakubaliana nae?

Follow ukurasa wetu


**agicupdates

29/05/2023
03/03/2019

Andika kinachokusumbua kuhusu biashara tunatoa ushauri bure kutokana na eneo ulilopo

03/03/2019

Eneo ulilopo mahindi bei gani?

23/12/2018

Heri ya mwaka mpya wa 2019 nakutakia uwe wa mafanikio kwako ili uende kutimiza ndoto zako.Jioni njema kwa wananamtumbo wote

Address

Majengo, Nahoro, Namtumbo-Ruvuma
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MN Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share