Naipenda Namungo fc

Naipenda Namungo fc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Naipenda Namungo fc, Sport & recreation, Namakonde, Ruangwa.




Naipenda mungo fc is the page created for fans with depth love for namungo fc who can sacrifice physically socially and economically or an asset to support his/her team.

Kamata gazeti lako la nipashe hii Leo 30/03/2020 uisome taarfa hii ya lusajo kwa kina kuhusu tetesi za lusajo na yanga
30/03/2020

Kamata gazeti lako la nipashe hii Leo 30/03/2020 uisome taarfa hii ya lusajo kwa kina kuhusu tetesi za lusajo na yanga

Jipatie jez za Namungo Fc kwa bei nafuu (15000)unapata juu na chini mawasiliano0716108820    πŸ‘Š
30/03/2020

Jipatie jez za Namungo Fc kwa bei nafuu (15000)unapata juu na chini mawasiliano0716108820
πŸ‘Š

News update-Namungo fc inaweza kua tishio msimu ujao endapo haitawauza baadhi ya wachezaji wao pia wachezaji endapo wata...
30/03/2020

News update
-Namungo fc inaweza kua tishio msimu ujao endapo haitawauza baadhi ya wachezaji wao pia wachezaji endapo watahitaji changamoto mpya Basi itakua pengo kubwa Sana kwa Namungo fc na huenda Yale yaliyotokea kwa Mbeya city,Singida Utd na Mbao fc.

-Bigilimana, Kikoti, Nzigamasabo, kwenye picha pamoja na Lusajo ambaye hayupo pichani ni watu hatari sana Namungo wanapaswa kuhakikisha wanaendelea kuwepo kikosini mcmu ujao.

  UONGOZI WA NAMUNGO FC WAVUNJA KAMBI KWA SIKU KADHAA.Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa COVID 19 unaoenezwa na virusi vya C...
19/03/2020


UONGOZI WA NAMUNGO FC WAVUNJA KAMBI KWA SIKU KADHAA.
Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa COVID 19 unaoenezwa na virusi vya Corona, Serikali kupitia Waziri Mkuu imetangaza kusimamisha Ligi zote nchini kwa muda wa siku 30 ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa huo.
Klabu ya Namungo FC imevunja kambi na kuwaruhusu Wachezaji kuondoka kwa siku kadhaa ili kuepusha misongamano ikiwa ni tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.
Hali ikitengemaa watarudi k**a kawaida kwenye majukumu yao.
Mungu wasaidie wachezaji wetu warudi wakiwa na afya njema na salama aminaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

17/03/2020
Typing errors guys πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Namungo fc baba lao
15/03/2020

Typing errors guys πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Namungo fc baba lao

Msimamo baada ya michezo ya leo namungo fc dhidi ya yanga sc na kmc dhidi ya alliance school.
15/03/2020

Msimamo baada ya michezo ya leo namungo fc dhidi ya yanga sc na kmc dhidi ya alliance school.

Leo 🐸🐸🐸 kazi wanayo , Tukutane Majaliwa stadium kwa mtonyo wa 5000 tu unapenya mlangoni.
15/03/2020

Leo 🐸🐸🐸 kazi wanayo ,
Tukutane Majaliwa stadium kwa mtonyo wa 5000 tu unapenya mlangoni.

Address

Namakonde
Ruangwa

Opening Hours

Monday 06:00 - 23:59
Tuesday 06:00 - 23:59
Wednesday 06:00 - 23:59
Thursday 06:00 - 23:59
Friday 06:00 - 23:59
Saturday 06:00 - 23:59
Sunday 18:00 - 23:59

Telephone

+255716946106

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naipenda Namungo fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share