World sports mwanza

World sports mwanza ULIMWENGU WA SOKA

ALL NEWS SOCCER APDATES

FAHARI YA MWANZA MJINI NA VIJIJINI

KARIBUNI KWA HABARI ZA SOKA SAFI
(3)

Msimu ujao Yanga wanamuhitaji a fit Yao YaoπŸ“ŒBila Shaka Yao akiwa Fit siyo Mwenda wala Kibwana hakuna anaeweza kumkalisha...
09/08/2025

Msimu ujao Yanga wanamuhitaji a fit Yao YaoπŸ“Œ

Bila Shaka Yao akiwa Fit siyo Mwenda wala Kibwana hakuna anaeweza kumkalisha benchi.

A fit Yao anakupa balance ya ulinzi pia ni tishio kwenda mbele.

Kuelekea msimu ujao Yanga wanatakiwa kuwa na Yao kwenye mbavu yao ya kulia…jamaa anajua ball.

World sports mwanza

This Boy Allan Okello (25) anajua sana mpira,kwanza ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingi...
08/08/2025

This Boy Allan Okello (25) anajua sana mpira,kwanza ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani.

Ni ngumu sana ku-deal nae haswa ukiwa ni beki wa pembeni.

Msimu uliopita kwenye ligi ya Uganda alitwaa tuzo ya MVP bila kusahau alitwaa kiatu cha mfungaji bora.

Jamaa ni ana kimo kidogo ila anajua ballπŸ”₯

World sports mwanza

ANAOMBA NAMBA KWA NGUVU UKO MISRI🀯Unaambiwa huko mazoezini hata wachezaji wenzake wanaogopa kumkaba  maana ukienda vibay...
08/08/2025

ANAOMBA NAMBA KWA NGUVU UKO MISRI🀯

Unaambiwa huko mazoezini hata wachezaji wenzake wanaogopa kumkaba maana ukienda vibaya anakulambisha nyasi , jamaa Mali ikiwa mguuni kwake ni ngumu kumpora mpaka pale mwenyewe aamue kuachia pasi

Prime PacomeπŸ”₯ 🫑🫑🫑

World sports mwanza

World sports mwanza
08/08/2025

World sports mwanza

🚨🚨 UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa klabu ya Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia itatuma ofa ya kumpata Clement Mzize...
08/08/2025

🚨🚨 UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa klabu ya Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia itatuma ofa ya kumpata Clement Mzize (21).

Yanga wamekataa ofa ya $600,000 ya Al Masry,wao wako tayari kupokea $800,000 hadi $900,000.

World sports mwanza

πŠπ€ππ“π„ππˆ πŠπ€ππ€π“πˆπŠπ€ππ€ π‰π€ππ†π–π€ππˆ! Karibu nyumbani kwa Mabingwa Mohamed Hussein  πŸ”°
06/08/2025

πŠπ€ππ“π„ππˆ πŠπ€ππ€π“πˆπŠπ€ππ€ π‰π€ππ†π–π€ππˆ!

Karibu nyumbani kwa Mabingwa Mohamed Hussein πŸ”°


no sleeping 🟒🟑
05/08/2025

no sleeping 🟒🟑

hii nchi????
05/08/2025

hii nchi????

Karibu Jangwani Thulani Thekiso πŸ‘ŠπŸ½ Mchambuzi wa Video za Michezo(Video Analyst)
05/08/2025

Karibu Jangwani Thulani Thekiso πŸ‘ŠπŸ½ Mchambuzi wa Video za Michezo(Video Analyst)


Karibu Simba SC, Mohamed Bajaber.Karibuni nyumbani πŸ‡ΉπŸ‡ΏWorld sports mwanza
02/08/2025

Karibu Simba SC, Mohamed Bajaber.

Karibuni nyumbani πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

World sports mwanza

DONE DEAL βœ…οΈ Cesestine Ecua IS 🟒 n 🟑World sports mwanza
01/08/2025

DONE DEAL βœ…οΈ

Cesestine Ecua IS 🟒 n 🟑

World sports mwanza

Teka la mabao,teka la mikimbio,mbwa mwitu haswaaπŸ”₯Sowah is RedπŸ“ŒWorld sports mwanza
01/08/2025

Teka la mabao,teka la mikimbio,mbwa mwitu haswaaπŸ”₯

Sowah is RedπŸ“Œ

World sports mwanza

Address

Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when World sports mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share