Mssa Boy comedian

Mssa Boy comedian Michezo na burudani

🤣🤣🤣🤣
06/10/2023

🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣
26/07/2023

🤣🤣🤣🤣🤣

26/07/2023
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifastars Adel mrouche amemuita kikosini mshambuliaji Bernard kamungo (21) Anachezea...
14/06/2023

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifastars Adel mrouche amemuita kikosini mshambuliaji Bernard kamungo (21)

Anachezea katika klabu ya Fc Dallas ya Ligu kuu Nchini Marekani MLS🇱🇷

Alijiunga na Dallas Aug 30,2022 Akitokea North Texas's sc ambako alifunga mabao 22 ndani ya mechi 52

Kamungo Alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi mkoani kigoma Ni raia wa Tanzania wa kuzaliwa

Nani Anastahili tuzo hii
20/05/2023

Nani Anastahili tuzo hii

MARUMO HAWAJULIKANI WALIPOikiwa imebaki siku moja tu mchezo upigwe timu ya marumo Gallants bado haijulikani Tiyari imesh...
09/05/2023

MARUMO HAWAJULIKANI WALIPO

ikiwa imebaki siku moja tu mchezo upigwe timu ya marumo Gallants bado haijulikani Tiyari imeshatua Tanzania ama bado ipo South Africa na mchezo ni siku ya kesho ✍️✍️

Address

Nyasaka

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mssa Boy comedian posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share