Igongolo football club

Igongolo football club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Igongolo football club, Sports Team, 1089 Makambako, Njombe.

10/08/2026

Point 3 muhimu leo ugenini dhidi ya Tagamenda

Tagamenda fc 0___Igongolo fc 1

Nzeimana⚽👏👏👏

wafungaji wetu leo  IGo 4__Itipingi 1  Jose⚽⚽  Nebu⚽⚽🙏🙏
08/08/2026

wafungaji wetu leo
IGo 4__Itipingi 1

Jose⚽⚽
Nebu⚽⚽🙏🙏

Alama 1 ugenini tunarudi kujipanga tena jumamos tukiwakaribisha Itipingi fc
06/08/2026

Alama 1 ugenini tunarudi kujipanga tena jumamos tukiwakaribisha Itipingi fc

Timu yetu ya Igongolo fc inatupa karata yake ya pili leo inaenda kucheza na Ibiki.Maombi yenu ile milango migumu iliyo f...
06/08/2026

Timu yetu ya Igongolo fc inatupa karata yake ya pili leo inaenda kucheza na Ibiki.Maombi yenu ile milango migumu iliyo fungwa ikapate kufunguka na Mungu aifanyie wepesi irudi na ushindi🙏🙏
*Msimamo
Team. pl. pts
1.Itipingi 2. 4
2.Ibiki. 1. 3
3.Kivitu. 2. 2
4.Igo fc. 1. 1

Mechi iliuma nyasi ni bila bila        IGo 0_Ihanzinyi 0    tuendelee kuwapa moyo vijana , mechi ijayo tar6/8 alhamisi w...
02/08/2026

Mechi iliuma nyasi ni bila bila

IGo 0_Ihanzinyi 0

tuendelee kuwapa moyo vijana , mechi ijayo tar6/8 alhamisi wanaenda Ibiki

Timu ya Igongolo fc inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Ihanzinyi fc .SW...
02/08/2026

Timu ya Igongolo fc inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Ihanzinyi fc .SWALLE CUP katika ngazi ya kata kutafta muwakilishi wa kata tayari kumewaka ,wadau wapenzi na mashabiki njooni tuwasapoti vijana leo wetu

KO4:00hrs
⚽⚽nyumbani kumenoga

wametutoroka leo🏃🏃wanabahati sana💪💪💪
15/10/2022

wametutoroka leo🏃🏃wanabahati sana💪💪💪

Address

1089 Makambako
Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Igongolo football club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share