Abajalo Football CLUB - Igunga

Abajalo Football CLUB - Igunga nginjanginja Abuja

13/03/2018

Full time uwanja wa sabasaba igunga abajalo fc1-2 Polisi Igunga
Tumepoteza mechi cha msingi tujipange kwa ajili ya mechi ingine

KIKOSI CHA ABAJALO KITAKACHOINGIA UWANJANI LEO DHIDI YA POLISI IGUNGA, DUA ZENU NI MUHIMU ILI TUWEZE KUPATA USHINDI WADA...
13/03/2018

KIKOSI CHA ABAJALO KITAKACHOINGIA UWANJANI LEO DHIDI YA POLISI IGUNGA,
DUA ZENU NI MUHIMU ILI TUWEZE KUPATA USHINDI WADAU.
sawa na wao

TAREFA huyu jamaa amewapa nini? ndio amehusika 75% kuharibu ligi daraja la tatu msimu huu kwa matokeo ya uwanjani ila ba...
17/04/2017

TAREFA huyu jamaa amewapa nini? ndio amehusika 75% kuharibu ligi daraja la tatu msimu huu kwa matokeo ya uwanjani ila bado leo mmempa mechi Rhino dhidi ya Simba acheze,kwani hamna waamuzi wengine mkoa huu?

01/04/2017

Bingwa "katangazwa" msange jkt na mshindi wa pili "katangazwa" boma fc tutawajuza chochote klabu itakavyoamua.

31/03/2017

MUNGU ibariki ABAJALO FC. tunaamini kesho tutatangazwa MABINGWA wapya wa mkoa wa TABORA.

23/03/2017

MATOKEO ya mchezo wetu wa jana dhidi ya Msange JKT hayakuwa mazuri tulipoteza kwa mabao 2-0 bahati haikuwa yetu hivyo inatulazimu tusubiri mpaka mechi ya mwiso ya Msange JKT dhidi ya Kurugenzi ya wilayani Nzega ili kujua k**a tutatwaa ubingwa wa MKOA ama tutashika nafasi ya pili.

21/03/2017

HABARI ZA JIONI WAPENDWA? kesho tunamchezo mmoja wa mwisho dhidi ya Msange JKT mechi ambayo tunahitaji pointi moja tu ili tutawazwe kuwa MABINGWA wapya wa MKOA WA TABORA tunawaombeni mtupe sapoti yenu wadau wa soka ili tuweze kuiwakilisha vyema wilaya yetu ya IGUNGA. Khamis Gulamali na DP we love you..

CHAMA LA WANA..
24/11/2016

CHAMA LA WANA..

Kepteni wetu King Kiso
23/09/2016

Kepteni wetu King Kiso

03/02/2016

Baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya Milambo tunajiandaa na mchezo wetu wa Pili dhidi ya Mvuvumwa utd kutoka Kigoma mchezo utachezwa uwanja wa Saba Saba Igunga siku ya Ijumaa tar 5/2 k**a hakutakuwa na mabadiliko.

Address

Newala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abajalo Football CLUB - Igunga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share