Nachingwea soccer Academy

Nachingwea soccer Academy Ni kituocha michezo chenye lengo la kuibua na kukuza vipaji vya Soccer

Twiga satrs mabingwa COSAFA
09/10/2021

Twiga satrs mabingwa COSAFA

Woyooo!!!
:
πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌ

18/08/2021

NSA vs TITANIC FC

Vijana wa Nachingwea fursa hizi kwa aliyekuwa tayari Tuwasiliane
03/08/2021

Vijana wa Nachingwea fursa hizi kwa aliyekuwa tayari Tuwasiliane

01/08/2021

Ukiwa Bora katika kazi yako wengi watakuchukia kwakua wao sio Bora K**a wewe Cha msingi endelea kufanya vizuri mwisho watakubali kazi yako.

Kuna wakati unatakiwa ufikilie Mara mbili zaidi ya mpinzani wako ili kuhakikisha unamzidi kimbinu
24/07/2021

Kuna wakati unatakiwa ufikilie Mara mbili zaidi ya mpinzani wako ili kuhakikisha unamzidi kimbinu

Hongera sana kwa wachezaji wote Leo mumeitendea haki timu yenu kwa kutimiza maagizo yangu hakika munastahili pongezi Ila...
24/07/2021

Hongera sana kwa wachezaji wote Leo mumeitendea haki timu yenu kwa kutimiza maagizo yangu hakika munastahili pongezi Ila kazeni buti Safari bado ni ndefu kwenu taifa linawasubiria.

Hongereni sana Nachingwea soccer Academy kwa ushindi wa goli 2-0 zidi ya Kaka zenu AJAX fc
21/07/2021

Hongereni sana Nachingwea soccer Academy kwa ushindi wa goli 2-0 zidi ya Kaka zenu AJAX fc

NSA Players
20/07/2021

NSA Players

Address

S. L. P 291
Nachingwea

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nachingwea soccer Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nachingwea soccer Academy:

Share

Category