Emmsport tv

Emmsport tv Sports news & events world wide.

Lionel Messi ndiye ana magoli mengi zaidi kwenye soka bila kuhesabu penalti  toka mwezi march  2026Ana magoli 3 zaidi ya...
03/03/2026

Lionel Messi ndiye ana magoli mengi zaidi kwenye soka bila kuhesabu penalti toka mwezi march 2026

Ana magoli 3 zaidi ya Cristiano Ronaldo, licha ya kucheza mechi 173 chache.

Lionel Messi ndiye bora kabisa kuwahi kutoka katika soka.

unafikiri nani atakaribia au kuvuja rekodi hiyo kwa hivi vizazi vinavyokuja?

usisahau kufollow Emmsport tv
for more updates.

KUMBUKIZI; LEO TRH 26/2  k**a ya leo mwaka 1999, kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson alik**atwa na polisi akiw...
26/02/2026

KUMBUKIZI;

LEO TRH 26/2 k**a ya leo mwaka 1999, kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson alik**atwa na polisi akiwa anaendesha BMW yake kwenye barabara ya pembeni ya watumia miguu karibu na Manchester.

Kosa dogo, lakini kisicho cha kawaida alifikishwa mahak**ani Oktoba na Sir Alex akatoa hoja yake kwamba alikuwa akiwahi chooni kwa sababu alikuwa anaharisha. Mwisho aliondolewa mashtaka na kuachiwa.

  cup wanamasumbwi wamepokea knockout round ya piliFT.
18/02/2026

cup

wanamasumbwi wamepokea knockout round ya pili

FT.

😆
28/10/2024

😆

JE WAJUA!!!!     Timu ya Taifa ya Uruguay inakuwa timu ya kwanza chini ya kocha wao MARCELO BIELSA (68)  kuifunga timu y...
17/11/2023

JE WAJUA!!!!
Timu ya Taifa ya Uruguay inakuwa timu ya kwanza chini ya kocha wao MARCELO BIELSA (68) kuifunga timu ya Taifa ya Argentina, baada ya timu ya Argentina kutopoteza michezo ishirini na tano (25) mfululizo.
Argentina wamepoteza kwa kufungwa magoli 2-0 wakati wa mechi ya kufuzu kwa kombe la Dunia Jana November 16
Vile vile ndio Mara ya kwanza toka mwezi wa kumi na moja(11) mwaka Jana 2022 kwa Nguli wa mpira wa miguu Lionel Messi kutokufunga Goli.

BREAKING NEWS!!!!!              Rasmi sasa kiungo mchezaji wa Real Madrid na  timu ya Taifa ya Ufaransa  Eduardo Celmi C...
16/11/2023

BREAKING NEWS!!!!!
Rasmi sasa kiungo mchezaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa Eduardo Celmi Camavinga, ataukosa msimu mzima wa 2023 uliobaki kutokana na kuumia kwa goti pindi alipokuwa mazoezini na timu yake ya Taifa,,

Christian eriksen rasmi amejiunga na klabu ya Manchester united kwa kandarasi ya miaka 3, mpaka mwezi wa 6, 2025. Kiungo...
15/07/2022

Christian eriksen rasmi amejiunga na klabu ya Manchester united kwa kandarasi ya miaka 3, mpaka mwezi wa 6, 2025.

Kiungo huyo mdenimaki alikuwa akichezea timu ya Brentford

"Familia yangu ilikuwa masikini sana, binafsi sikuweza hata kujinunulia viatu vya kuchezea mpira. Mama yangu alikuwa aki...
14/07/2022

"Familia yangu ilikuwa masikini sana, binafsi sikuweza hata kujinunulia viatu vya kuchezea mpira. Mama yangu alikuwa akiwafulia watu nguo ili tu familia ipate chakula.Binafsi ninavyoona watoto wadogo wakihangaika, naona sinabudi ya kuwasaidia kwani inanikumbusha zamani yangu Mimi". Maneno ya Sadio mane.

Kwa sasa ni mchezaji wa club ya ujerumani Bayern Munich.

Na mchezaji wa afrika wa pili kulipwa pesa nyingi.

NONDO; Wachezaji top 7 wanaongoza kuwa na magoli + assists nyingi ndani ya misimu mitatu ya ligi kuu ya uingereza (EPL) ...
14/07/2022

NONDO; Wachezaji top 7 wanaongoza kuwa na magoli + assists nyingi ndani ya misimu mitatu ya ligi kuu ya uingereza (EPL) iliyopita.

(1) Mohammed salah (92)
(2) Harry Kane (83)
(3) Son heung-Min (78)
(4) Kevin de bruyne (74)
(5) Jemie vardy (69)
(6) Bruno fernandes(61)
(7) Sadio Mane (61)

Address

Dar Es Salaam
Mwanza

Telephone

+255753214331

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmsport tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Emmsport tv:

Shortcuts

Share

Category