Daud Esports

Daud Esports sportman

Mbona k**a wenyewe😁
13/06/2026

Mbona k**a wenyewe😁

🚨 πŸ’£ RATIBA YA LEO WORLD CUP IJUMAA YA JUNE 12-2026.🏟 Saa 05:00 - South Korea πŸ‡°πŸ‡· βš”οΈ Czech πŸ‡¨πŸ‡Ώ 🏟 Saa 22:00 - Canada πŸ‡¨πŸ‡¦ βš”οΈ B...
13/06/2026

🚨 πŸ’£ RATIBA YA LEO WORLD CUP IJUMAA YA JUNE 12-2026.

🏟 Saa 05:00 - South Korea πŸ‡°πŸ‡· βš”οΈ Czech πŸ‡¨πŸ‡Ώ

🏟 Saa 22:00 - Canada πŸ‡¨πŸ‡¦ βš”οΈ Bosnia and Herzegovina πŸ‡§πŸ‡¦

Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ VS Brazil πŸ‡§πŸ‡· today, will you want Morocco to win Brazil?
13/06/2026

Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ VS Brazil πŸ‡§πŸ‡· today, will you want Morocco to win Brazil?

"Mke wangu aliamua kuachana na Mimi kwasababu sikuwahi MSALITI Kwa mwanamke mwingine Wala kuwa nae kwenye mgogoro wowote...
13/06/2026

"Mke wangu aliamua kuachana na Mimi kwasababu sikuwahi MSALITI Kwa mwanamke mwingine Wala kuwa nae kwenye mgogoro wowote kwenye mahusiano yetu."

"Alieniambia hawezi kuwa na mwanaume ambae hajachangamka kwenye ndoa."

- Ricardo Kaka (Mchezaji wa zamani wa Real Madrid,AC Milan pamoja na timu ya taifa ya Brazil πŸ‡§πŸ‡·).

FOLLOW US.

β€ŽKuna mambo mpaka yakutokee ndio ujue kwamba Mungu hafanyi kwa kuchelewa...β€Žβ€ŽIla muda wako wa kupata ulikuwa haujafika t...
13/06/2026

β€ŽKuna mambo mpaka yakutokee ndio ujue kwamba Mungu hafanyi kwa kuchelewa...
β€Ž
β€ŽIla muda wako wa kupata ulikuwa haujafika tu...
β€Ž
β€ŽMwanamke aliyeitwa mgumba wa taifa , leo ni mama wa mtoto na anaujua uchungu wa leba...
β€Ž
β€ŽMiss Tanzania 2006 , hakuna rangi aliyoachia kuiona lakini leo ameuona ukuu wa Mungu...
β€Ž
β€ŽOndoka kwenye kikao kinachosema Mungu hayupo , muangalie Wema Sepetu halafu tazama ukuu wa Mungu...
β€Ž
β€ŽWalimkejeli sana kwa kusema kwa sababu alitoa mimba basi asahau tena kuwa na kizazi...
β€Ž
β€ŽWakajipa kazi ya Mungu , kumbe Mungu alitaka kuonesha wema wake kwa Wema Sepetu...
β€Ž
β€ŽKupitia Wema kuzaa ni funzo la bure kwenda kwa wanawake wengine , Mungu yupo subiri muda wako..πŸ™

🚨 OFFICIAL Klabu ya Raja Casablanca Imethibitisha Kumfuta Kazi Kocha Wao Mkuu Faldu Davids pamoja na Sehemu ya Benchi la...
12/06/2026

🚨 OFFICIAL Klabu ya Raja Casablanca Imethibitisha Kumfuta Kazi Kocha Wao Mkuu Faldu Davids pamoja na Sehemu ya Benchi lake la ufundi Kutokana na Matokeo yasiyo ya kuridhisha Katika Klabu Hiyo πŸ‘‹.

🏟️Michezo - 22
βœ… Ushindi - 13
🀝Sare - 05
❎ Kupoteza - 04

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBC Premier League πŸ‡ΉπŸ‡Ώ FOUNTAIN GATE FC 0οΈβƒ£βž–οΈ2️⃣ AZAM FC                                                   ...
12/06/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : NBC Premier League πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

FOUNTAIN GATE FC 0οΈβƒ£βž–οΈ2️⃣ AZAM FC
⚽️ 37" Ngita
⚽️ 65" Kitambala

♦️

COASTAL UNION FC 1οΈβƒ£βž–οΈ1️⃣ NAMUNGO FC
⚽️ 37" Savila ⚽️ 63" Luzendaze

β—Ύ Mexico wanaonekana kuwa kipimo kikubwa sana kwa South Africa, namna South Africa wanavyo cheza wanatupa picha kamili k...
12/06/2026

β—Ύ Mexico wanaonekana kuwa kipimo kikubwa sana kwa South Africa, namna South Africa wanavyo cheza wanatupa picha kamili kwamba Kuna utofauti mkubwa wa quality za wachezaji wetu wanao cheza ligi za ndani ya Africa na nje .

Huyu Julian Quinones ni mshambuliaji haswa Tena target man haswa

Allan Okello ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mbele ya Chama Clatous na Feisal Salum , binafsi jamaa amestahili ...
12/06/2026

Allan Okello ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mbele ya Chama Clatous na Feisal Salum , binafsi jamaa amestahili numbers zake zinatisha sana .

Allan amehusika kwenye magoli 10 ndani ya mwezi mmoja ( 9 Goals & 1 Assist ) .

Cristiano Ronaldo anasema yupo fit na tayari kwa asilimia Mia moja kuiwakilisha Portugal πŸ‡΅πŸ‡Ή kwenye World Cup 2026 πŸ™Œ kuna...
12/06/2026

Cristiano Ronaldo anasema yupo fit na tayari kwa asilimia Mia moja kuiwakilisha Portugal πŸ‡΅πŸ‡Ή kwenye World Cup 2026 πŸ™Œ kuna uwezekano hili likiwa kombe la dunia la mwisho kwa GOAT na anahitaji kuondoka na taji .

Ana kikosi bora , wachezaji wenye performance bora pia ni timu inayopewa nafasi kubwa πŸ”₯

Address

157
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daud Esports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share