07/07/2026
*Moja ya Eneo la msingi Kwa Karne hii, ambalo linapaswa kupewa kipaumbele zaidi Kwa vijana ni pale watakapo kubali kutafuta maarifa ya kutosha Ili akili zao zisiongozwe na AI pekee yake!*
*Miaka 10 kuanzia Leo idadi kubwa ya watu watakuwa wameshuka sana katika ENEO la kufikiri Kwa kina( critical thinking)*
*Utajiri pekee uliopo Kwa Sasa sio kusubiri ajira bali ni kuwekeza kwenye ujuzi utaokao kupa fedha baadae bila kusubiri ajira ya serikali*
*Tumeamua kujenga kizazi kinachotaka kutawala kesho yake Kwa kuwa na maarifa mengi kwenye Eneo husika*
*Pasipo maarifa watu huangamia, usiangamie Kwa kukosa maarifa, jifunze Leo*