Naipenda YANGA YANGU

Naipenda YANGA YANGU True fans of young Africans kwa washabiki wa kweli

WANANCHIIIIIIIIINaombeni mpeni support huyu mwana Dada katika page yake ya Michezo Link nawawekea hapo chini ni mtoa taa...
17/03/2026

WANANCHIIIIIIIII

Naombeni mpeni support huyu mwana Dada katika page yake ya Michezo Link nawawekea hapo chini ni mtoa taarifΓ  za Michezo za uhakika kwa wakati...!Β‘! Tafadhali Γ±aombeni mumpe support zenuπŸ™πŸ’š

Link hii hapa πŸ‘‡

https://www.facebook.com/profile.php?id=100083670391800

Tarehe 20 Yupo wakuu. Si wenyewe mnaona kaingia kupasha misuliπŸ˜€Follow π“πžπšπ¦ 𝐨𝐟 π‚π’π­π’π³πžπ§π¬
10/04/2024

Tarehe 20 Yupo wakuu.

Si wenyewe mnaona kaingia kupasha misuliπŸ˜€

Follow π“πžπšπ¦ 𝐨𝐟 π‚π’π­π’π³πžπ§π¬

HEE !!! MIAKA 15 ?Nimfash Berchimas mwenye umri wa miaka 15 ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuiwakilisha na kuifu...
16/11/2023

HEE !!! MIAKA 15 ?

Nimfash Berchimas mwenye umri wa miaka 15 ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuiwakilisha na kuifungia Marekani kwenye Kombe la Dunia la Wanaume U17 tangu Freddy Adu mwenye umri wa miaka 14 kufanya hivyo mwaka wa 2003.

2003 : Freddy Adu alifunga mabao manne katika michezo yake miwili ya kwanza kwenye Kombe la Dunia la U17

2023 : Nimfash Berchimas afunga mabao matatu katika mechi zake mbili za kwanza kwenye Kombe la Dunia la U17

[Chanzo : BR Football]

Follow Team of Citizens

Habari kubwa sasa kwenye Social Media ni Group Stage ya Champions League. Na 70% ya watu wanajadili kuhusu Kundi letu Wa...
06/10/2023

Habari kubwa sasa kwenye Social Media ni Group Stage ya Champions League. Na 70% ya watu wanajadili kuhusu Kundi letu Wananchi .. πŸ‘Š

Hii inatoa picha ni kwa Jinsi Gani Brand ya YangaSc ni kubwa na Inavutia wengi kuizungumza..

Ni nzuri hii Lakini kwa sasa, ombi Langu kwa Mashabiki na Wanachama tusiingie kwenye mtego wa kuiwaza Novemba wakati Oktoba bado Hatujaimaliza.

Hatua ya Makundi itaanza Novemba .. Lakini kesho, Oktoba 7 hapa CCM Kirumba Tuna Jambo zito kweli kweli.

Tuna mchezo mgumu wa kuzisaka Pointi 3️⃣ dhidi ya timu ngumu ya Geita Gold .. Tuweke Focus yetu hapa kwa sasa.

Yoyote atakayeanzisha mjadala wa Group Stage kwenye kundi Lolote la WhatsApp.. Mwambieni Asubiri kwanza .. YangaSc Inashida na hizi pointi 3️⃣ za Kesho

Dua, hamasa ziwekwe hapo .. Tukijielekeza mno kuijadili Group Stage itafanya tuingie kesho tukiwa hatuko 100% na umakini mbele ya Geita ..

Tulimalize hili la kesho Wananchi .. πŸ‘Š Mengine yatafata.

✍️ Team of Citizenss

24/25 Nov: CR Belouizdad - AwayALGERIA1/2 Dec: Al Ahly - HomeDSM8/9 Dec: Medeama - AwayGHANA19 Dec: Medeama -  HomeDSM23...
06/10/2023

24/25 Nov: CR Belouizdad - Away
ALGERIA

1/2 Dec: Al Ahly - Home
DSM

8/9 Dec: Medeama - Away
GHANA

19 Dec: Medeama - Home
DSM

23/24 Dec: CR Belouizdad - Home
DSM

1/2 Mar: Al Ahly - Away
EGYPT

AL AHLY πŸ‡ͺπŸ‡¬ CR BELOUIZDAD πŸ‡©πŸ‡Ώ YOUNG AFRICANS πŸ‡ΉπŸ‡Ώ MEDEAMA SC πŸ‡¬πŸ‡­ Hili ndilo group la young africans mabingwa wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ w...
06/10/2023

AL AHLY πŸ‡ͺπŸ‡¬
CR BELOUIZDAD πŸ‡©πŸ‡Ώ
YOUNG AFRICANS πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
MEDEAMA SC πŸ‡¬πŸ‡­

Hili ndilo group la young africans mabingwa wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wananchi tuna kazi muhimu na ngumu ya kufanya kuhakikisha tuna fuzu kwenda hatua ya robo final



"Nafahamu kesho tutakuwa na mchezo mgumu na sijui hali ya Uwanja ikoje lakini nafikiri itakuwa k**a Uwanja wa mchezo wet...
06/10/2023

"Nafahamu kesho tutakuwa na mchezo mgumu na sijui hali ya Uwanja ikoje lakini nafikiri itakuwa k**a Uwanja wa mchezo wetu uliopita.
Ukweli nina wasiwasi sana na viwanja pamoja na maamuzi ya waamuzi uwanjani nina imani kutakuwa na mabadiliko kwenye hili kwasababu kila kitu kinaonekana wazi"

Maandalizi kwa upande wetu siyo mazuri sana kutokana na ratiba lakini sisi ni wataalamu na ligi kuna muda inakuwa na ratiba ngumu lazima kuwa tayari. Leo tutakuwa na mazoezi jioni, ambayo yatatusaidia kuona hali ya wachezaji kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold"


β€œKutoka mwaka 1998 hadi sasa [2023] ni miaka 25, ni umri wa kijana ambaye tayari anaweza kuwa kwenye ndoa. Ni miaka ming...
02/10/2023

β€œKutoka mwaka 1998 hadi sasa [2023] ni miaka 25, ni umri wa kijana ambaye tayari anaweza kuwa kwenye ndoa. Ni miaka mingi sana, wakati Yanga inacheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya mwisho mimi nilikuwa bado nipo shule.”

β€œMapenzi ya Yanga yalikuwa ndani ya familia yetu, nakumbuka siku hiyo mzee na familia yote tulishangilia sana Yanga kufuzu hatua ya makundi. Kwa hiyo Yanga kufuzu hatua ya makundi baada ya miaka 25 ni zawadi kwa familia yangu kwa sababu hata wao walitamani kuiona tunairudisha Yanga hatua hizi.”

β€œNa mimi nimefurahi sana kuona jambo hili limetimia, tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hatua hizi tunakuwa wenyeji kwa kushiriki kila msimu.”

- Arafat Haji [], Makamu wa Rais Yanga.

Address

Lamadi
Mwanza
0001

Telephone

+255685468879

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naipenda YANGA YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share