Team Invention

Team Invention Graphics Designs

Happy birthday Beautiful
26/07/2024

Happy birthday Beautiful

Good Friday."Siju ya kutafakari juu ya IMANI, MSAMAHA na UPENDO*  ozil15
29/03/2024

Good Friday.

"Siju ya kutafakari juu ya IMANI, MSAMAHA na UPENDO*


ozil15

Good Friday.
29/03/2024

Good Friday.

Thank you GOD, for blessing me with another new Year!! Happy Birthday to me!
05/01/2024

Thank you GOD, for blessing me with another new Year!! Happy Birthday to me!

Kaa tayari kupata tena kile unachokitaka!!💥💥Ni Mnada wa Wafanyabiashara na Wajasiliamali jijini Mwanza.Utafanyika June 2...
02/05/2023

Kaa tayari kupata tena kile unachokitaka!!💥💥Ni Mnada wa Wafanyabiashara na Wajasiliamali jijini Mwanza.
Utafanyika June 2023

Imeandaliwa na .o.l.l_outfit
Jipange kutokukosa.!!

Jumapili ikawe njema sana kwetu, kwa familia zetu, ndugu zetu, marafiki zetu, majirani zetu na wote kwa ujumla.Mungu wet...
19/03/2023

Jumapili ikawe njema sana kwetu, kwa familia zetu, ndugu zetu, marafiki zetu, majirani zetu na wote kwa ujumla.
Mungu wetu atumiminie kila lililo jema kwa kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi na huruma yake.

Mwezi wa kumi Ni mwezi wa Mama Bikira Maria, tunaarikwa sote kujiandaa vyema ju ya mafungo na matembezi ya Hija sambamba...
19/09/2022

Mwezi wa kumi Ni mwezi wa Mama Bikira Maria, tunaarikwa sote kujiandaa vyema ju ya mafungo na matembezi ya Hija sambamba na kusali Rozari.

20.09.2022, saa 5.00 Asubhui, *96.1* Radio Sauti Mwanza kutakuwa na kipindi maalumu cha kuelezea namna Hija hiyo itakavyofanyika, kikiongozwa na Kwaya ya MT. BENEDICTO kupitia Katibuwa Kwaya hiyo Benedicto Mayalla .mc .

💥💥💥Usikose kusikiliza.

Maneno yako yatabaki kuwa kumbukumbu, funzo na mwongozo  kwetu.Moyo wako wa uthubutu wa kuamua namna ngumu ya utekelezaj...
27/03/2021

Maneno yako yatabaki kuwa kumbukumbu, funzo na mwongozo kwetu.
Moyo wako wa uthubutu wa kuamua namna ngumu ya utekelezaji ili Taifa lipige hatua hakika sifa yako itabaki katika nchi yetu.
Taifa litakukumbuka daima.

Pumzika kwa Amani.
Mh. Dk. John Pombe Magufuli

Team Invention inatoa pole kwa watanzania wote.

there is light..
02/03/2020

there is light..

Welcome in Morning Coffee with Miss Doreen Cosmas TEAM INVENTION | 2019
30/09/2019

Welcome in Morning Coffee with Miss Doreen Cosmas

TEAM INVENTION | 2019

31/08/2018

'No matter what happens, no matter how far you seem to be away from where you want to 'No matter what happens, no matter how far you seem to be away from where you want to be.
Never stop BELIEVING that you will somehow MAKE IT.'

-TRUST GOD.

Address

Sahara
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team Invention posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share