28/05/2025
…Ryanair, Shirika la ndege la bei nafuu kutoka nchini Ireland 🇮🇪 linafikiria kuanzisha safari za ndege zisizokuwa na siti…
Lengo ni kuzidi kupunguza nauli, kwa kuwawezesha watu wenye uwezo mdogo kiuchumi, kusafiri…
Abiria wote mtalazimika kusimama, mwanzo hadi mwisho wa safari, k**a kwenye mwendokasi za Bongo, kwa bei nafuu sana…
Tanzania 🇹🇿 to France 🇫🇷, safari ya “masaa 9” angani, unaambiwa itakuwa ni Euro 10 tu, yaani shilingi elfu 30 za Tanzania 🇹🇿, k**a SGR ya Dar to Dom…