Kapesah Sports Update

Kapesah Sports Update let's share our ideas together

03/09/2026

Taja Vilabu visivyo na mvuto Afrika
(A) Yanga sc (B)Simba sc (C) Al Ahaly. ( )
chagua jibu sahihi

01/09/2026

Huyu chilambo anacheza namba ngapi uwanjani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kati ya Nathanael Chilambo na Yao kwasi je ni yupi anaitendea vyema namba yake vizuri zaidi , twende kwa comments chapu....
01/09/2026

Kati ya Nathanael Chilambo na Yao kwasi je ni yupi anaitendea vyema namba yake vizuri zaidi , twende kwa comments chapu.

Huyu libase atamaliza tuzo zetu aseeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
31/08/2026

Huyu libase atamaliza tuzo zetu aseeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kikosi cha mnyama Simba sc.
31/08/2026

Kikosi cha mnyama Simba sc.

Unapo kuwa na fedha basi kubari kupata vitu vizuri lakini k**a huna pesa basi utavitamani vitu vizuri , nakumbusha Simba...
31/08/2026

Unapo kuwa na fedha basi kubari kupata vitu vizuri lakini k**a huna pesa basi utavitamani vitu vizuri , nakumbusha Simba sc mnashida na beki namba mbili japo wengi mnampa credit chilambo lakini kwa huyo bwana mdogo bado kufiti kwa kapombe mimi option yangu ningelitamani kumuona Yao Kwasi akicheza beki namba mbili pale Simba sc kutokana na ubora na uzoefu mkubwa alio nao hii lingekuwa dili kubwa sana kwa simba sc lakini kwa kuwa pesa iko benk basi Yao kwasi anahitajika na klabu ya mamelod, sasa hapa ndiyo naanza kuelewa kuwa vilabu vikubwa vyote vipo Afrika kusini , Misri, morocco , Algeria na ,Tunisia lakini kwa hapa Tanzania kuna ukubwa wa magazetini tu . power ya kushindana na hao mapapa hatuna , na hii ndiyo inasababisha tuanze kufikiria hatua ya robo fainali huku wenzetu wanawaza ubingwa wa Afrika.
WAZO KWA HOJA , HOJA KWA WAZO.

29/08/2026

Kijana wenu wa mawata pleya ameanza kuzeekea benchi huku🀣🀣🀣🀣🀣🀣

28/08/2026

Ila Doumbia kaaa sasa hii ndo mawhat tena yaani mpira uende wewe ubaki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kijana wetu Nathanirl Chilambo amechaguliwa kuwa man of the match hongera Chilambo   # Kapesah Sports Update
27/08/2026

Kijana wetu Nathanirl Chilambo amechaguliwa kuwa man of the match hongera Chilambo
# Kapesah Sports Update

27/08/2026

Fvs imegoma no penatπŸ˜…

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kapesah Sports Update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category