Ligi kuu + Shirikisho

Ligi kuu + Shirikisho Hapa tunajadili michezo tu.

09/08/2023
Aliyemleta mayele pale yanga aisee mpeni maua yake.
21/05/2023

Aliyemleta mayele pale yanga aisee mpeni maua yake.

AMEANDIKA HAJI MANARA|+🗣"Huyu nilichogundua ni roho mbaya tu na kupenda attention, kwangu mimi huyu jamaa alikuwa one of...
21/05/2023

AMEANDIKA HAJI MANARA|+

🗣"Huyu nilichogundua ni roho mbaya tu na kupenda attention, kwangu mimi huyu jamaa alikuwa one of the best Football Pundits tulionao nchini, najiuliza kimemkuta nini siku hizi ? Pengine kukaa Studio na Mazuzu nae kawa wale wale."

🗣"Anajua football kisha mjanja lakini kacopy upumbavu toka kikundi cha Wagagagigikoko wenye njaa njaa, nilikuwa namshabikia kiasi cha kushiriki kila jambo lake na kwangu alikuwa ni sehumu yake ya kuenjoy maisha, ukizingatia tulikuwa jirani Mikocheni."

🗣"Mliopo karibu nae ongeeni nae isiwe karogwa au ngiba toleo jipya imemkataa? My brother umepatwa na kitu gani nowadays? Rafiki zako wa zamani tunakushangaa aisee!!"

🗣"Hiyo sio Level yako ni uchambuzi wa kindezi, now umeacha kuchambua football k**a zamani, kutwa kuchambua Yanga,kutwa kuonyesha Yanga haina lolote, kutwa kukimbilia Mic kuponda Yanga, inaniuma mno mtu tuliyekuwa tukikaa mara kadhaa kujadili football ya kweli kugeuka kuwa kongogo."

🗣"Ok: Tukichukua ubingwa kwa kuwafunga hao Waarabu utakuja kusema hata Makolo washawahi kuchukua mwaka 1875? Au Utaenda kuomba radhi studio?"

🗣"Rudi mstarini Bro, huyo sio wewe hata kidogo, acha kuwaiga wakuja hao wanaotafuta kiki Kwa kuponda kila kitu, wewe born town,wewe una exposure, kisha sio mshamba mshamba, kila nikikumbuka ulivyokuwa Clouds naumia sana bro au kipindi kile upo Azam Tv kwangu ni Msiba kumpoteza mtu mwenye kujua Soka kuongea utumbo k**a huo daily, Hujachelewa Geoff, rudisha heshma uliyokuwa unapewa na watu wa football, acha uchawa na kuiga upuuzi wa kutafuta kiki."

21/05/2023

Karibuni sana hii ni sehemu ya kujadili michezo kwa ujumla

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ligi kuu + Shirikisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ligi kuu + Shirikisho:

Share

Category