26/01/2026
mkumbuke muumba wako wakati wa ujana wako
https://www.facebook.com/share/1CKjJR8AhQ/
π₯ HUDUMA YA MAFUNUO π₯
Njoo ukutane na nguvu ya Mungu Aliye hai kupitia:
π£ Mtumishi wa Mungu: NABII MARY MBOMA
π Mafunuo ya Roho Mtakatifu
β¨ Ishara na Miujiza
ποΈ Uponyaji kwa Jina la Yesu Kristo
π₯ Malaika wa kutenda.
Katika huduma hii:
β Wagonjwa wameponywa
β Walioteseka wamefunguliwa
β Maisha yamebadilishwa kwa nguvu za Mungu
π₯ Yesu Kristo ni yule yule, jana, leo na hata milele π₯
π Usikose kukutana na matendo ya Mungu yaliyo wazi
π
(JUMATANO SAA 9 JIONI)
π
(IJUMAAI SAA 9 JIONI)
π
(JUMAPILI SAA 3 ASUBUHI)
SIKU YA KUKUTANA NA NABII OFISINI NI IJUMAAI SAA 3 ASUBUHI NA KUENDELEA
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufikia piga simu moja kwa moja 0752 048 903/ 0680 215 815