Mandozi Sports Academy

Mandozi Sports Academy Mandozi Sports Academy is a registered Tanzanian Sports Academy, under registration No. NSC 10548 of Act, 1967. The head office is located in Mwanza.

Mandozi Sports Academy is a community focussed academy that promote local players and supports football development. The word Mandozi is not an abbreviation but a word which stands on its own. It comes from a Latin singular word “Armando” which is “Mandozi” in plural form, means “Heroes”.

Kila la  heri binti yetu Ester EmilyKolonely  kwenye majukumu yako katika timu ya   Tunaamini katika uwezo wako.      Cc...
21/04/2026

Kila la heri binti yetu Ester EmilyKolonely kwenye majukumu yako katika timu ya Tunaamini katika uwezo wako.

Cc.

Uongozi wa Mandozi Sports Academy umepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Bilo Football Center,...
17/04/2026

Uongozi wa Mandozi Sports Academy umepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Bilo Football Center, Athuman Bilal (Bilo) uliotokea jijini Mwanza. Msiba huu si kwa familia na Bilo Football Center pekee, bali kwa wadau wote wa michezo nchini. Tunaombea wote walioguswa na msiba huu faraja, nguvu na ustahimilivu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.

🚨PAYMENT METHOD:🚨BANK NAME: EQUITY BANK TANZANIA LIMITEDBRANCH NAME: MWANZA BRANCHACCOUNT NAME: MANDOZI SPORTS ACADEMYAC...
10/04/2026

🚨PAYMENT METHOD:🚨

BANK NAME: EQUITY BANK TANZANIA LIMITED
BRANCH NAME: MWANZA BRANCH
ACCOUNT NAME: MANDOZI SPORTS ACADEMY
ACCOUNT NO.: 3005211958433
SWIFT/BIC CODE: EQBLTZTZ###
BANK CODE: EQBL
COUNTRY CODE: TZ
LOCATION CODE: TZ
BRANCH CODE: 300
CURRENCY: TZS

Leo tulicheza mchezo wa kirafiki tukiungana na First Green Football Club, pamoja na TSC Queens dhidi ya   ambapo timu ya...
05/04/2026

Leo tulicheza mchezo wa kirafiki tukiungana na First Green Football Club, pamoja na TSC Queens dhidi ya ambapo timu ya Simba Queens ilipata ushindi wa 4-0. Asante kwa nafasi mliyotupatia.

/3

Miongoni mwa wahitimu wetu, Shinje Cosmas anayecheza nafasi ya kiungo akiwa katika mazoezi ya timu yake     /3
26/03/2026

Miongoni mwa wahitimu wetu, Shinje Cosmas anayecheza nafasi ya kiungo akiwa katika mazoezi ya timu yake

/3

15/03/2026

Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya Ligi Daraja la Kwanza Wanawake. Kwa sapoti yoyote namba ya mawasiliano ni 0693950791 (Kwembe Mahonza).

14/03/2026

Proper preparation prevents poor performance.

/3

11/03/2026

Recharging 🔌🔋

Michael Jacob Kaselenge (22) wa Cosmopolitan FC ya Ligi Daraja la Pili akiwa kwenye majukumu yake dhidi ya Yanga SC kati...
19/02/2026

Michael Jacob Kaselenge (22) wa Cosmopolitan FC ya Ligi Daraja la Pili akiwa kwenye majukumu yake dhidi ya Yanga SC katika Kombe la Shirikisho CRDB. Michael ni miongoni mwa wachezaji waliohitimu kwenye kituoni kwetu.



/3

Timu yetu ya wanawake (Mandozi Queens) ni rasmi itashiriki Ligi Daraja la Kwanza Wanawake 2026 itakayoanza katikati ya m...
17/02/2026

Timu yetu ya wanawake (Mandozi Queens) ni rasmi itashiriki Ligi Daraja la Kwanza Wanawake 2026 itakayoanza katikati ya mwezi Machi 2026. Ligi hiyo itazihusisha timu 16 za Tanzania Bara. Mchango wako wa hali na mali ni muhimu kwetu ili kuweza kufanya vizuri, na kutumiza ndoto za mabinti zetu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0693950791 (ukituma mchango kwa AIRTEL namba hii jina la usajili litatokea: KWEMBE MAHONZA. Asante sana.

Cc.

/3

Halda Abdul Omari (kati) kutoka Dar es Salaam amejiunga na kikosi chetu. Wa kwanza kutoka kulia ni mjomba wa binti, na w...
06/02/2026

Halda Abdul Omari (kati) kutoka Dar es Salaam amejiunga na kikosi chetu. Wa kwanza kutoka kulia ni mjomba wa binti, na wa kwanza kutoka kushoto ni mwakilishi wa Mandozi Sports Academy, ndugu Kamanga Tindwa. Tunaendelea kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mashindano mbalimbali tutakayoshiriki.

/3

Cc.

Address

Www. Mandozisportsacademy. Org
Mwanza City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mandozi Sports Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mandozi Sports Academy:

Share