09/03/2026
ukimwangalia uchezaji wake Anicet Oura unaweza ukafikiri anajichosha uwanjani ila ndo mchezaji hatari zaidi na tegemezi ndani ya timu analazimisha akabwe na mabeki zaidi ya wawili anapokuwa na mpira nini maoni yako ? aongezewe mkataba au aangaliwe?