GOLF Instructor

GOLF Instructor To teach or instruct someone to know and play golf in my home Club in reasonable prize per lesson he

18/04/2024
11/04/2024
11/04/2024
10/08/2023

Taarifa muhimu sana 👇

Kumekua na kamtindo ka watu wakipata mpenzi au rafiki mpya na wakiwa wanataka kukutana kimwili basi huja hospitali na kutaka KUPIMA HIV kila mmoja wao kwa maana ya mwanaume na mwanamke.

Majibu yakija NEGATIVE utawaona wanavocheka na kufurahia huku mioyoni mwao wakiwa na hamasa na ari ya kukutana na mwenziwe.

Sasa ukweli ni kwamba kupima HIV pekee na kufurahia majibu ya HIV na kujiaminjsha ni FIKRA POTOFU NA UTAKUJA KUJUTA SIKU MOJA.

Ikumbukwe kwamba k**a mtu amepata maambukizi ndani ya wiki mbili kwa mfano na akaenda kupima bado ataonekana hana ilihali anao maana yuko kwenye window period.. Majibu yatakuja negative ilihali mtu ni positive,yapo magojwa mengine k**a KASWENDE,PANGUSA,MGEN,HOMA YA INI,KISONONO,HEPESI NK ambayo hata hawahangaiki nayo na yanaambukizwa kwa ngono. Usishangilie HIV negative, fikiria na magonjwa mengine pia na suala la window period...Chukua tahadhari!
Ndugu zangu mkienda hospitali pimeni na homa ya ini,kisonono,kaswende nk na kumbuka kujilinda na magonjwa ya zinaa👇

1) Acha kabisa kufanya ngono

2) Kua na mpenzi mmoja na muaminifu

3) TUMIA KONDOMU,USIMUAMINI MTU!!USIMUAMINI MTU!! VIJANA TAMBUENI KUA SIKU HIZI WATU NI WAZURI KWA NJE ILA NI BOMU NDANI,SIO KILA KING'AACHO NI DHAHABU.JILINDE ,USIDANGANYIKE NA UZURI WA NJE.

Muhimu sana,wewe unaepata ujumbe huu msaidie mwenzako kwa kumtagi ili nae aje ajifunze
...

10/07/2023

Swing ID by Golfshot is Here! Enjoy the world’s most powerful and trusted on-course GPS, scoring, statistics, auto shot tracking, and now swing analysis app. Your Smart Caddie Auto Shot Tracking Track every shot with just your Apple Watch. An automated experience to elevate your game complete with...

Umaridadi kidogo pande fulani hivi
05/07/2023

Umaridadi kidogo pande fulani hivi

Address

TPC-GOLF CLUB
Moshi
NIL

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GOLF Instructor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GOLF Instructor:

Share