ushirika_jogging_club

ushirika_jogging_club sports

Karibuni tujenge na tulinde afya zetu
07/11/2021

Karibuni tujenge na tulinde afya zetu

22/01/2020
Ushirika jogging club maandalizi ya kili marathon 2020 jiunge nasi afya yako ndio mtaji wako hakuna kiingilio.Rais wa us...
22/01/2020

Ushirika jogging club maandalizi ya kili marathon 2020 jiunge nasi afya yako ndio mtaji wako hakuna kiingilio.Rais wa ushirika jogging club anawakaribisha wadau wote kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya zao na kupunguza maradhi yanayotokana na kuwa na mwili teketeke jali afya kwa ubora wa mwili wako.

Ushirika jogging picha baada ya mazoezi ya asubui leo.
22/01/2020

Ushirika jogging picha baada ya mazoezi ya asubui leo.

21/01/2020
USHIRIKA JOGGING CLUB MAZOEZI NI JUMATATU MPK IJUMAA SAA KUMI NA MBILI MPK SAA MOJA ROBO ASUBUI.KARIBU UJIUNGE NASI HAKU...
21/01/2020

USHIRIKA JOGGING CLUB MAZOEZI NI JUMATATU MPK IJUMAA SAA KUMI NA MBILI MPK SAA MOJA ROBO ASUBUI.KARIBU UJIUNGE NASI HAKUNA KIINGILIO.

Viongozi wa ushirika jogging club walikuwepo karibu ujiunge nasi mazoezi kwa afya umejiandaaje na kili 2020?
20/01/2020

Viongozi wa ushirika jogging club walikuwepo karibu ujiunge nasi mazoezi kwa afya umejiandaaje na kili 2020?

Address

Moshi
Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ushirika_jogging_club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ushirika_jogging_club:

Share

Category