22/09/2016
Kwa Niaba Ya Uongozi Wa _Mapaka Kupitia
Moja Ya Vitengo Vyake Yani # MAPAKA_FOOTBALL_CLUB.
Inapenda Kuwatalifu Siku Ya Jumatatu Mapaka Fc Itashuka Dimbani Ktk Vwanja Vya Azimio....Katka Ligi Ya Milioni 2
Mashabik Na Wapenz Wa Mapaka Fc Mnaombwa Kujitokeza Kuja Kuina Timu Yenu Pendwa Ikiondoka Na Points 3 Muhimu.