Monster Tz

Monster Tz EVERYTHING IS OKAY UNDER CONTROL OF GOD

https://www.facebook.com/profile.php?id=61556051184495

02/06/2026
OKEEEE — Simba wameshinda 0–2 dhidi ya timu inayoupapasa mwiko wa Yanga, lakini ushindi huu hauondoi makosa ya kimbinu y...
11/02/2026

OKEEEE — Simba wameshinda 0–2 dhidi ya timu inayoupapasa mwiko wa Yanga, lakini ushindi huu hauondoi makosa ya kimbinu yaliyopo ndani ya kikosi. Bado kuna mapungufu yanayohitaji marekebisho ya haraka.

Simba wanapata shida kubwa wakikutana na timu zinazokaa low block. Kufungua safu ya ulinzi wa mpinzani bado ni changamoto, hasa pale timu inapokataa kucheza open game.

Tatizo lingine ni over-committing in attack. Simba wanashambulia kwa idadi kubwa na kubaki na wachezaji wawili tu nyuma. Dhidi ya timu imara kwenye counter-attack, hili ni bomu linalosubiri kulipuka kwa kifupi harudi kwa namba zile zile wanazoahambukia pale kibao kinapowageukia wao kushambuliwa utawaona mabeki wale wale dhidi ya team nzuri watazidiwa tu Leo KMC walijaribu counter kadhaa nzuri, ila wakashindwa kuzitumia kutokana na udhaifu wao wenyewe.

Set pieces ni tatizo kubwa sana. Simba wamepiga kona karibu 8–9 na faulo kadhaa ndani ya 18, jumla zaidi ya 10+, lakini hakuna hata moja iliyozalisha hatari. Kushindwa kutumia set pieces kwa idadi hiyo ni tactical failure inayopaswa kutatuliwa haraka.

Kwa upande wa full backs, Kapombe na Kibabage bado hawajaonesha kiwango cha kuitumikia Simba kwa weledi. Hakuna vertical passes, hakuna aerial deliveries za maana, na hata walipopanda hawakuongeza chochote kwenye attack — zero impact.

Kimbinu, Simba wana options nyingi pembeni. Chama, Oura, Gueye na Morice wote wanaweza kucheza wide. Tatizo ni matumizi ya Morice. Anachezeshwa k**a No.8, lakini anajisahau anacheza k**a No.10, jambo linalomlazimisha Chama kushuka chini kuchukua mipira. Morice alipaswa kuwa deep playmaker anayefeed No.10, winga na striker

Simba ina wachezaji wazuri sana shida ipo kwenye mbinu tu sasa wafanye nini , aingie nanii haya yanahitaji kocha mwenye weledi wa kusoma wachezaji wake na mchezo husika

Kila Wise

Best Friends
28/08/2025

Best Friends

Address

0626013303
Dar Es Salaam
P.O.BOX228,MAHENGE/ULANGA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Monster Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share