JKT Tanzania football club

JKT Tanzania football club official page of
Mabingwa wa championship 2021-2023



(1)

08/08/2026

Happy Nane Nane Day


#88

VIPAUMBELE VYETU MSIMU HUU 📜1. Ubingwa wa NBC PREMIER LEAGUE 2.Ubingwa wa NBC PREMIER LEAGUE 3.Hamna hamna tumalize kwen...
07/08/2026

VIPAUMBELE VYETU MSIMU HUU 📜
1. Ubingwa wa NBC PREMIER LEAGUE
2.Ubingwa wa NBC PREMIER LEAGUE
3.Hamna hamna tumalize kwenye nafasi 4️⃣ za juu


05/08/2026


05/08/2026

Utulivu ndani ya Arusha maandalizi ya Msimu mpya wa Ligi kuu bado yanaendelea.


02/08/2026

WAJENGA NCHI

ISMAIL MHESA IS BLUE AND WHITE 🔵⚪Ukitaka kujua JKT Tanzania tumedhamiria kuendelea tulipoishia msimu uliopita basi tazam...
02/08/2026

ISMAIL MHESA IS BLUE AND WHITE 🔵⚪
Ukitaka kujua JKT Tanzania tumedhamiria kuendelea tulipoishia msimu uliopita basi tazama aina ya usajili wetu.
Dead-ball specialist amechagua kuja kuwafungia magoli ya kona na free kick🌟



SAID MKOPI IS BLUE AND WHITE 🔵 ⚪Nyota mwingine anayekuja kuzibariki nyasi za dimba la Meja Jenerali Isamuhyo🏟️JKT Tanzan...
01/08/2026

SAID MKOPI IS BLUE AND WHITE 🔵 ⚪
Nyota mwingine anayekuja kuzibariki nyasi za dimba la Meja Jenerali Isamuhyo🏟️

JKT Tanzania FC tumefanikiwa kushinda vita kubwa sana na sasa fundi SAID MKOPI atawatumikia 💪



Mwanaumeeeee Luzendaze💪💯💯Kelvin De Bruyne wa Sengerema ni   mpya
01/08/2026

Mwanaumeeeee Luzendaze💪💯💯

Kelvin De Bruyne wa Sengerema ni mpya


31/07/2026

CHAGUO LA WAJENGA NCHI
Amepitishwa na uongozi, amepitishwa na benchi la Ufundi, amepitishwa na mashabiki na sasa amefika kuwapa furaha

JOFREY LUZENDAZE IS BLUE AND WHITE 🔵⚪



GARI LIMEWAKA TUKUTANE ARUSHAKikosi chetu kimeweka kambi mkoani Arusha kwa ajili ya Pre season kujiandaa na msimu mpya w...
31/07/2026

GARI LIMEWAKA TUKUTANE ARUSHA
Kikosi chetu kimeweka kambi mkoani Arusha kwa ajili ya Pre season kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2026/2027 💪


Address

Jamuhuri
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JKT Tanzania football club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category